Natafuta mke umri miaka 25 hadi 32

Mugamuga

Member
May 2, 2015
28
21
Mimi ni mwanaume umri wangumiaka 35, nina mtoto mmoja.

Natafuta mwanamke awe na sifa zifuatazo; awe mkristu hasa RC, ambaye hajazaa atafikiriwa zaidi, awe muajiriwa.

Mengine njoo PM.
 
Mimi Ni mwanaume umri wangumiaka 35 Nina mtoto mmoja. Natafuta mwanamke awe na sifa zifuatazo; awe mkristu hasa rc, ambaye hajazaa atafikiriwa zaidi, awe muajiriwa. Mengine njoo pm
Nimekosa kigezo kimoja hapo
 
Staki kuamini kama wewe ni muga ninaemjua. Kwan yule ulozaa nae kama sio ndoa ulishayoa taraka?
 
Mimi ni mwanaume umri wangumiaka 35, nina mtoto mmoja.

Natafuta mwanamke awe na sifa zifuatazo; awe mkristu hasa RC, ambaye hajazaa atafikiriwa zaidi, awe muajiriwa.

Mengine njoo PM.
Wewe mbona haujajitambulisha kazi yako
 
Ukitaka kuja kuishi maisha ya raha na huyo mtoto wako na wewe tafuta aliyezaa hapo nhoma droo inabidi awapende wrote akimtesa wa kwako na wewe mtese wa kwake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom