Natafuta mke mwema

Joshua justine

Senior Member
Sep 1, 2021
148
250
Teh aki single maza. Ahaa wanaume wa jf huwa hawataki single maza . tunapita
Wapo wasiojali mkuu, huwezi amini , lakini mapenzi ya watu yapo tofauti tofauti , kila mtu na factor zake ,
Na hata single mothers wapo wife materials wa ukweli pia, ila ndio hivyo mkuu kwa unyenyekevu wote naomba tu Mungu anijalis hitaji langu, moyo wangu unavyopendelea,
 

financial services

JF-Expert Member
May 17, 2017
11,816
2,000
Watoto ni baraka, na mwenye mtoto ni ishara kwamba siyo tasa so na wewe mnaweza kupata wenu kwa asimilia nyingi mkuu, why hutaki mwenye mtoto tena?
 

babyfancy

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
1,840
2,000
Kutoka KWA bwana yaani my wangu mkeo ndio Kwanza hata Mungu undongo wa kumfinyanga hajauandaa bado tena ungeanza kuomba kabisa mapema muonekano wa mkeo mtarajiwa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom