Natafuta mke mwema - Muislam

Mkuu nipo tayari ila nina talaka 2,nina makovu miguuni,stretch mark tumboni halafu nina kitambi cha haja kidogo
.
Miaka yangu 28..vipi naweza kukufaa?!hizo sifa zingine zote ninazo ila changamoto ni hiyo
 
Nashukuru sana
 
Wewe itakua unanfaa mimi
 
Kupata mwanamke nikazi sasa ivi maana kalibia wote ni wa kichina kuanzia tabia,rangi ya mwili,na viungo vya mwili vingine mpka bikira ya kichina
 
Mtafute Ustaadhat Miss Natafuta au @everlynsalt watakufaa sana
Habari wana JF,
Mimi ni kijana wa kiume, Miaka 30. Graduate, nimeajiriwa serikalini. Naishi DSM. Dini yangu ni Muislam, mimi ni mstaarabu na nina hofu ya Mungu. Sijawahi kuoa wala sina mtoto. Naamini somewhere out there pia kuna mabinti wengi tu wastaarabu kabisa ambao wanatafuta mme mwema ambae watafungua nae ukurasa mpya wa maisha ya ndoa hatimaye wajenge familia, tatizo tu linakuwa how you two get connected.
Sifa za binti.
Umri: 22- 28 yrs
Dini: Muslim
Elimu: Certificate or Diplomal, ukiwa graduate is an added advantage.
Kabila: Lolote, sio ishu sana kwa dunia ya leo
Ajira: Uwe na ajira, au ni mtu ambaye unaweza kuajirika.
Huna mtoto.
Nafikiri sifa nyengine uta zifaham zaidi kadri tutakavyo fahamiana.
Kama una hisi una sifa hizo na upo serious, karibu PM tafadhali. This is a serious Note, jokes aside please.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom