tall_gentle
Member
- Jun 14, 2013
- 7
- 2
Salaam wana JF najitokeza hapa kutafuta mwanamke awe MNENE, MKRISTO anayeishi kati ya DAR, MOSHI au ARUSHA mwenye umri kuanzia miaka 36,angalau awe na DIPLOMA kwa sasa mi naishi Dar japo ninasafiri sana kati ya DAR-MOSHI na ARUSHA. Akiwa na watoto wasizidi wawili maana nami nina mtoto pia, awe tayari kupima UKIMWI. Aliye tayari ani-PM.TAFADHALI ZINGATIA KIGEZO CHA UMRI & ELIMU. Mimi nafanya kazi DAR japo ninasafiri mara nyingi kwenda MOSHI na ARUSHA kikazi. Elimu: Nina
Shahada ya Pili ya Uongozi wa Biashara (MBA=Master of Business Administration), umri wangu ni miaka 39. Asante
Shahada ya Pili ya Uongozi wa Biashara (MBA=Master of Business Administration), umri wangu ni miaka 39. Asante