Natafuta mke jamani

katto14

JF-Expert Member
Jul 28, 2016
226
62
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajilriwa natafuta msichana wa kuoa anayejielewa awe na miaka 20-28, awe na shughuli inayomwingizia kipato.

Aliye tayari tuwasiliane pm.
 
awe na shughuriiii ya kumuingizia kipato.

Acha uvivu brah mwanamke akae ndan ww tafuta
Aah shangaa we mkuu. Ujishughulishe, ukirudi nyumbani umfulie, umpikie, unyonyeshe na bado kitandani anataka ushughulike. Kuweni na huruma jamani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom