Natafuta mke daktari

Mimi natafuta mke awe mwanajeshi. Akiwa mwanamedani itapendeza kabisa.

Cc docta financial servies

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Huogopi?

Nilishangaa na kuanza kuogopa siku nilipoambiwa na rafiki yake kuwa naichanganya Serikali!!

Alikuwa gf wangu, akaenda kozi. Akakuta nimetafuta kifaa kipya Mnyarwanda! Yule dada alipigwa biti kwanza si raia wa Tz!
Demu akahama; mziki ukabaki kwangu.

Nilianza kuogopa.
Sijui uko wapi Afande!!!!????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah mkuu pole bwana. Mie kuna mmoja tumemaliza kidato cha nne akaenda jw sisi juma kisomo tukaendelea.

Nipo college akawa amemaliza huko jw. Alikuwa fresh tuu sema nkaona sio level zangu maana wale friendz zake maafisa nikajaa upepo nkajitoa mwenyewe.
Dah! Huogopi?

Nilishangaa na kuanza kuogopa siku nilipoambiwa na rafiki yake kuwa naichanganya Serikali!!

Alikuwa gf wangu, akaenda kozi. Akakuta nimetafuta kifaa kipya Mnyarwanda! Yule dada alipigwa biti kwanza si raia wa Tz!
Demu akahama; mziki ukabaki kwangu.

Nilianza kuogopa.
Sijui uko wapi Afande!!!!????

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Huogopi?

Nilishangaa na kuanza kuogopa siku nilipoambiwa na rafiki yake kuwa naichanganya Serikali!!

Alikuwa gf wangu, akaenda kozi. Akakuta nimetafuta kifaa kipya Mnyarwanda! Yule dada alipigwa biti kwanza si raia wa Tz!
Demu akahama; mziki ukabaki kwangu.

Nilianza kuogopa.
Sijui uko wapi Afande!!!!????

Sent using Jamii Forums mobile app
Wadada wajeda safi sana asee, ila wasiwe walevi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom