Naitaji mke mwenye HIV positive

mtepwete

Member
Aug 1, 2016
7
13
Habari!!
KWA HESHIMA KUBWA NAPENDA KUWEKA MAOMBI YANGU HAPA KWA AJILI YA KUTAFUTA MKE MWENYE MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI

NINA NIA YA DHATI NA UKWELI KUTOKA MOYONI NAITAJI MKE WA AINA HII

WASIFU WANGU:

~Naishi Dar es Salaam
~Umri wangu kati ya miaka 48 na 52
~Rangi ya mwili:maji ya kunde
~Urefu futi 5 inchi 7(sm 170)
~Umbo:slimbody

Zaidi ya hapo SINA UBAGUZI WOWOTE

WASIFU WA MKE:

•AWE MREFU
•AWE MWEMBAMBA
•AWE MWEUPE
•UMRI WOWOTE
•AWE TAYARI KUINGIA KTK MAISHA YA MKE NA MUME

Mawasiliano yangu:
0762 62 61 20

WhatsApp +255762626120

Email
Mtepwetepwe@gmail.com

Mwenye mahitaji ya mume tu tuwasiliane
 
Kila la heri mzee baba. Ila kwa umri huo, ulitakiwa pia kuelezea shughuli zako za kukuingizia kipato ili kuwavutia hata wale HIV Negative.
 
Kwa hiyo wewe ukiangalia pochi tu?

smdh

🙊 Yaani mimi mzee mzima, dume la nyani, na Mlezi wa Mabaharia wa JF umenigeuza kuwa Mwanamke! Nimempa tu ushauri kama mwanaume mwenzangu ili afanikiwe kumpata mwanamke mwenye sifa nyingi. Au umesahau wanawake walio wengi rafiki/mpenzi wao wa kweli ni Pesa?
 
Habari!!

Kwa nia thabiti kutoka moyoni natafuta mwanamke mwenye maambukizi ya virus vya ukimwi ili awe mke wa maisha yangu!!

Nahitaji mke na sio mpenzi

Kinachosumbua kwangu ni upweke tu na kukosa upendo

Natafuta mke kwa maisha na sio kwa tamaa za mapenzi ndio mana nataka mke na sitaki mpenzi

Mm ni mwanaume wa miaka kati ya 48 na 52

Napatikana Dar

Napenda nipate mwanamke kwa kuzingatia haya nitampenda kidhati na kutoka moyoni:

Asiwe mnene

Asiwe mfupi

Asiwe mweusi

Dini yoyote

Umri wowote

Awe tayari kuishi maisha ya mume na mke

Mawasiliano:

0762 62 61 20

Pia napatikana whatsapp kwa namba hiyo

Karibu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashost. ......haya mkuje huku....anko ataka mkeeeee....msije kulala wanaume wa kiowa hamna
 
Nimepitia post zako yani tangu 2016 mpaka leo hujapata?? Yaelekea kuna kitu hakipo sawa

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
 
Habari!

Mimi ni mwanaume wa miaka 52
Nimeathirika na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI
Nimejitokeza kutafuta mke wa maisha
Mimi ni mrefu
Slim body
Maji ya kunde
Naishi Dar

Natafuta mwanamke ambaye atakuwa mwenye fikra za kupandisha CD4 ili kubaki salama
Mke: Umri wowote, dini yoyote hasiwe mfupi mana mimi ni mrefu.

Mawasiliano:
0762 62 61 20 (whatsapp)
 
Habari!

Mimi ni mwanaume wa miaka 52
Nimeathirika na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI
Nimejitokeza kutafuta mke wa maisha
Mimi ni mrefu
Slim body
Maji ya kunde
Naishi Dar

Natafuta mwanamke ambaye atakuwa mwenye fikra za kupandisha CD4 ili kubaki salama
Mke: Umri wowote, dini yoyote hasiwe mfupi mana mimi ni mrefu.

Mawasiliano:
0762 62 61 20 (whatsapp)
Natamani kujua ilikuaje ukapata ukimwi..samahani kama swali langu litskukwaza lakin natamani tu kujifunza kitu toka kwako
 
Habari!

Mimi ni mwanaume wa miaka 52
Nimeathirika na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI
Nimejitokeza kutafuta mke wa maisha
Mimi ni mrefu
Slim body
Maji ya kunde
Naishi Dar

Natafuta mwanamke ambaye atakuwa mwenye fikra za kupandisha CD4 ili kubaki salama
Mke: Umri wowote, dini yoyote hasiwe mfupi mana mimi ni mrefu.

Mawasiliano:
0762 62 61 20 (whatsapp)
Ushampata au bado?

Kama bado nambie nikuunganishe na mama flan hiv kama atakubali japo alinambia anatafuta mwanaume mwenye hali kama yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom