Natafuta mke alie tayari kwa kuolewa

M2mishi

JF-Expert Member
Mar 2, 2013
709
267
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu
Mimi nikijana nilie ajiliwa katika idala moja wapo seriialini
Nina umliwa miaka 34
nahitaji nimpate mpenzi ambaye ana lengo la kujenga maisha umli miaka 25 na kuendelea
wasiliana nami kwa namba 0743503492 SMS zote zitajibiwa
 
@M2mishi,Daaaadek humu Kuna wale TACAIDs kuna single mother weng na slayqueen kibao

Brother kitaa mbona wamejaaa tele TU
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom