Natafuta mkataba wa kuendesha gari la Uber

Corporate G

Member
Oct 8, 2017
7
45
Habari zenu wadau wa Jamii Forums.

Natafuta mkataba wa kuendesha gari la Uber.

Vigezo vya gari linalohitajika, iwe ni model ya mwaka 2003 na CC 1300.
Mimi kama dereva nina wajibu wakutimiza mahitaji yote ya gari ikiwa na service na usafi wa gari.
Mmiliki wa gari anauwezo wa kupata 150,000 - 160,000 kwa wiki, ila inategemea na mkataba utakavyo kuwa.

Gari yako inaweza kuwa ni kitega uchumi kizuri katika kuendesha maisha.
Mdau anayetaka kuchukua fursa hii na kuigeuza gari yake kuwa ya biashara naomba nitafute kwa namba 0719342964.

Hii pia ni fursa ya kuchangia juhudi za kuinua vijana katika changamoto za kutafuta maisha bora.
 

Corporate G

Member
Oct 8, 2017
7
45
Kuulizana maswali magumu usiku sio poa Mwifwa. Hapa hatakujibu kamwe!

Mmiliki huwa mara zote analiwa yaani.
Mmiliki ndiye anayeamua kiasi atakacho pokea, cha msingi maelewano na uzuri application ya Uber inaonesha kiasi gani dereva anaingiza kwa wiki. Kwa hilo mwenyewe nawasifu na pia kiasi anachoingiza dereva hutegemea sana bidii mwenyewe.
 

Joowzey

JF-Expert Member
Nov 13, 2015
12,949
2,000
Mmiliki ndiye anayeamua kiasi atakacho pokea, cha msingi maelewano na uzuri application ya Uber inaonesha kiasi gani dereva anaingiza kwa wiki. Kwa hilo mwenyewe nawasifu na pia kiasi anachoingiza dereva hutegemea sana bidii mwenyewe.
Halafu huo mkataba unaisha baada ya mda gani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom