Natafuta mji mtulivu wa kwenda kupumzika kwa mwezi mmoja

Satoshi Nakamoto

Senior Member
May 28, 2017
105
435
UPDATE: Nashukuru wote mlioshiriki kutoa mapendekezo, so far kwa ku regard walio wengi, panapo majaaliwa ya Mwenyezi Mungu, nitaenda Bukoba. Nitawapa mrejesho na mapichapicha ya kutosha. Akina Koku mnipokee wenyeji wangu (mid May to mid June)
Umofia kwenu wakuu!

Ambao mna uzoefu mkubwa na maeneo (miji midogo) ya nchi hii. Naomba ushauri au mapendekezo, ni mji gani mdogo naweza kwenda kukaa kwa muda wa mwezi mmoja (brain recharging)

Uwe ni mji mdogo, uliotulia kwa mandhari na hali ya hewa, ambao jioni naweza enjoy evening walk, uwe ni mji salama, na wenye vyakula vizuri vya asili, kwa mfanano mzuri think of somewhere like Lushoto (Lushoto ndio kwetu so don't mention)

Binafsi nimewaza kwenda Tarakea Rombo, lakini naona ni vyema nipate mawazo kwa wadau. N.B, iwe ni sehemu yenye nyumba za wageni ambazo ni classic.
Asanteni.
gettyimages-454273811-1024x1024.jpg
 
Naunga mkono hoja ule mji hauna heka heka plus kuna sehemu kibao za evening walk.
Huwa napenda pia kwenda.

nishapamiss pia...
Atakula ndizi, senene, samaki na zile chips za mayai ya kienyeji 😊😊😊

Beach zipo na hazina population kubwa na pia night life si haba

Anaweza pia kwenda kusettle kwenye centre za vijiji kuenjoy nature na uzuri huduma za kijamii zipo poa kiasi..
 
nishapamiss pia...
Atakula ndizi, senene, samaki na zile chips za mayai ya kienyeji 😊😊😊

Beach zipo na hazina population kubwa na pia night life si haba

Anaweza pia kwenda kusettle kwenye centre za vijiji kuenjoy nature na uzuri huduma za kijamii zipo poa kiasi..
Asante kwa msisitizo! Noted down ✍️
 
Nenda Marangu vijijini nyumba za kulala bei 10,000 Maximum 15,000 very classic. Vyakula vipo vingi, ndizi, nyama choma, kande org.

Nenda Bukoba mjini utafurahia samaki na mandhari nzuri ya ziwa pia ni Jirani na Boda ya mtukula kuna mengi ya kuona

Nenda Kigoma mjini ni mbali kweli utakutana na warundi na Rwanda ni wafanya biashara wakubwa na bamutu ya Kinshasa.... Migebuka na kuhe utapenda.

Nenda Morogoro kajichimbie madizini, ifakara ama malinyi ni kuzuri.

Nenda kahama, tarime nimechagua miji yenye mwingiliano mkubwa wa watu kusudi uweze kujifunza kwa kusikia na kuona biashara zinazoendelea pia wafanya biashara huwa na story nyingi za hustling za maisha by the way maeneo hayo huwa na ustaarabu mwingi na usalama wa kuaminika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bukoba club pale kuku wa kuchoma balaaa kiroyera nyingine nimeisahau beach hotel.
Plus anaweza kuvuka maji akaenda kutalii.
Halafu Bukoba raha sana ukiwa na laki tu Don wewe, msosi sasa hadi raha.
Eyce i wish nitume picha nikiwa huko.
I really enjoyed the place.
Naipenda ile sehemu.
nishapamiss pia...
Atakula ndizi, senene, samaki na zile chips za mayai ya kienyeji

Beach zipo na hazina population kubwa na pia night life si haba

Anaweza pia kwenda kusettle kwenye centre za vijiji kuenjoy nature na uzuri huduma za kijamii zipo poa kiasi..
B
 
Back
Top Bottom