Kiongozi Kuna Ile iliyopigwa marufuku ya shilling 100,je hamna mbadala wake ili iweze kuuzwa kwa bei Ile Ile ya shilling Mia kwa EU?30,000/ kwa piece 100 hiyo inabeba mpaka kg 4
Hizi picha kuna demu alidownload akatuma na ww unatuma mnapenda utapelitapeli nyie.Nina mifuko rahisi na nitakufikishia popote Tanzania . Tutafute RX PAPER BAGS AND PACKAGES 0778729529View attachment 1101897View attachment 1101898View attachment 1101899View attachment 1101900View attachment 1101901View attachment 1101902
Poa maana hiyo yako means reja reja uuze 350-400 kitu ambacho wajasiriamali wadogo watashindwa kukimudu pia wanunuzi wa bidhaa wataona bora wafunge kwenye magazeti..Binafsi sina ila nafkiri itakuwepo ile ya mode ya kizamani ikafit hapo mkuuUnaweza iita vyovyote uwezavyo mkuu as long as lengo ni kutumika kama kifungashio
Poa mkuu nimekupataMkuu ukitaka kwa wingi tunaweza negotiate your warm welcome chief ndyo maana ikaitwa biashara mkuu
Mkuu namba yako ili tuone kama tunaweza bargain..Poa mkuu nimekupata
Namba yako mkuu, unaweza ni pm ili tujue tunafanyajeMkuu ukitaka kwa wingi tunaweza negotiate your warm welcome chief ndyo maana ikaitwa biashara mkuu
Mkuu no yangu niliipost hapo juu sema labda hukuiona , lakini unaweza nipata kupitia no hizi mkuu 0713 979798 / 0742 923747Namba yako mkuu, unaweza ni pm ili tujue tunafanyaje
Hapo sasa, jambo zuri kutunza mazingira lakini je watumiaji wa mifuko wataweza mudu bei ili kutunza mazingira, au waanze kufungia kwenye magazeti...Zile soft rambo zilikuwa zinauzwa elfu 1 na kukikuwa na pcs 100 so kila Pc ni Tshs 10, ukienda kununua hata matunda ya 500 muuzaji haoni hasara kukupa mfuko wa Tsh 10, sasa hii inayouzwa kila PC 300 hata mteja akinunua vitu vya 3000 bado ni hasara kutoa mfuko wa 300