Natafuta mifuko ya karatasi

tempid

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
1,053
1,657
Wapi naweza kupata mifuko ya karatasi mbadala wa hii ya plastic iliopigwa marufuku? Natafuta mifuko ya kutumia kwa wateja wangu.
Hamna mtu aliechukua hii fursa? Mwenye nayo tuwasiliane
 
Nitafute
Screenshot_2019-04-27-15-42-22-19.jpeg
 
Nina mifuko rahisi na nitakufikishia popote Tanzania . Tutafute RX PAPER BAGS AND PACKAGES 0778729529
Img_5475472702.jpeg
Img_7705375621.jpeg
Img_7170061708.jpeg
images%20(13).jpeg
images%20(10).jpeg
images%20(9).jpeg
 
Binafsi sina ila nafkiri itakuwepo ile ya mode ya kizamani ikafit hapo mkuuUnaweza iita vyovyote uwezavyo mkuu as long as lengo ni kutumika kama kifungashio
Poa maana hiyo yako means reja reja uuze 350-400 kitu ambacho wajasiriamali wadogo watashindwa kukimudu pia wanunuzi wa bidhaa wataona bora wafunge kwenye magazeti..
 
Zile soft rambo zilikuwa zinauzwa elfu 1 na kukikuwa na pcs 100 so kila Pc ni Tshs 10, ukienda kununua hata matunda ya 500 muuzaji haoni hasara kukupa mfuko wa Tsh 10, sasa hii inayouzwa kila PC 300 hata mteja akinunua vitu vya 3000 bado ni hasara kutoa mfuko wa 300
 
Zile soft rambo zilikuwa zinauzwa elfu 1 na kukikuwa na pcs 100 so kila Pc ni Tshs 10, ukienda kununua hata matunda ya 500 muuzaji haoni hasara kukupa mfuko wa Tsh 10, sasa hii inayouzwa kila PC 300 hata mteja akinunua vitu vya 3000 bado ni hasara kutoa mfuko wa 300
Hapo sasa, jambo zuri kutunza mazingira lakini je watumiaji wa mifuko wataweza mudu bei ili kutunza mazingira, au waanze kufungia kwenye magazeti...

Hapa bei elekezi ilitakiwa iwepo isizidi wala kupungua kiasi fulani ingekuwa poa sana..

Hiyo bei ya 1000/100pcs ilikuwa poa sana.
 
mi nadhani mifuko midogo ya karatasi ya kuuza sh hamsini au mia haitakosa,mfano mfuko wa kubeba kilo moja au nusu kilo ambao watanzania wengi ndo hununua kipimo cha robo,nusu na kilo,hiyo mifuko haitakosa
 
Acheni kujidanganya, mifuko ya plastic itaadimika kwa mda mdgo sana kupisha huu upepo, bt itarudi kwa kasi ya kimondo, marufuku ya hii mifuko ilianzia mwaka 2004 kwa ambao hamujui.
 
Ukihitaji sticker kwa ajili branding nishtue tufanye kazi mkuu
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom