Natafuta Microfinance isiyofanya kazi kwa ajili ya kununua

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,401
1,604
Habari zenu wakuu,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.

Wizara ya viwanda na biashara wamekuwa wagumu sana wa kutoa
leseni kwa microfinance mpya zinazoanzishwa hivyoo nimefikiria
yawezekana kuna mtu alishafungua microfinance yake ina kila
document inayohitajika kisheria lakini mwisho wa siku imekufa
either kwa kushindwa kuiendesha au vinginevyo.

Ningependa kutumia fursa hii kuwaarifu kuwa nahitaji microfinance
ya aina hiyo kwaajili ya kununua. Si kwamba nataka kununua na ofisi
la hasha nahitaji jina tu na all legal document.

Nimetoa tangazo kwa niaba ya kampuni yangu.
Nitafute PM au kupitia email hii kupata maelezo ya kina: tonyhaule@hotmail.com

Na kwa mwenye ushauri wowote kuhusiana na hili nalotaka kulifanya aweke hapa.

KARIBUNI SANA.
 
hahahaha, asante mkuu. Registration cost hata ukisema usifanye ukimtumia mwanasheria haifiki milioni moja. Sijashindwa kufanya registration na procedure zote nazijua, tatizo ni wizarani wanasumbua kutoa leseni ambayo gharama yake ni laki sita na nusu, ili upate kila kitu haizidi milioni mbili. UTOPIAN
 
Hiyo leseni hawawezi kutoa kwa kampuni ya mfukoni
 
Back
Top Bottom