Natafuta mhudumu wa juice cafe

mkadiriajimajenzi

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
549
608
SIFA
Awe mwanamke anayejua kukamua juice za aina mbalimbali kwa kutumia mashine ,msafi ,asiyenyonyesha,aliye tayari kufanya kazi mpaka saa 4 usiku.

ENEO LA KAZI

VIjibweni -Kigamboni

MSHAHARA

Utategemea makubaliano na utendaji kazi

MAWASILIANO

PM kabla ya tarehe 21/04/2017
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom