Natafuta mfugaji mwenye mayai ya kuku wa kisasa aliyepo Dar, Mlandizi, Chalinze au Kibaha

Fahad mayai

Member
Dec 17, 2019
27
11
Natafuta mfugaji mwenye mayai ya kuku wa kisasa aliepo Dar, Mlandizi, Chalinze au Kibaha.

Bei 7000 hadi 7300 ndo nnayo nunulia nnahitaji tray kuanzia 200 na kuendelea, mawasiliano 0625602775 napataikana Dar es Salaam Ilala, Amana.

Nafika hadi shamba kufata mzigo.
 
Zabron Hamis mteja huyo
Wale wanaohitaji mayai ya kuku wa kisasa. Trey moja Tsh 7500 Goba center. Uwezo wa kusambaza hadi trey 1000 kwa siku tunao.

Karibuni sana

0766966209
0624351108

View attachment 1682789View attachment 1682792View attachment 1682791View attachment 1682790

Natafuta mfugaji mwenye mayai ya kuku wa kisasa aliepo Dar, Mlandizi, Chalinze au Kibaha.

Bei 7000 hadi 7300 ndo nnayo nunulia nnahitaji tray kuanzia 200 na kuendelea, mawasiliano 0625602775 napataikana Dar es Salaam Ilala, Amana.

Nafika hadi shamba kufata mzigo.
 
Ndugu zangu muweni makini na watu wataokuja kusema wana mayai wengi wao ni wababaifu
Pole kwa uliyokutana nayo, mkuu kwa trei kuanzia 200 ni nyingi kwakweli inahitaji upate mfugaji wa large scale kupata lasivyo utaishia kubabaishwa tu na msimu wenyewe wa mvua huu upatikanaji wa mayai unakuwa mgumu kutokana na hali ya hewa isiyo rafiki kwa kuku kutaga kwa wingi.
 
Ni kweli brother. Mimi pia niliingizwa mkenge nikaweka tangazo hapo juu.

Ilikuwa hv: huyu muuzaji alikuwa akiniletea mayai hapo kabla. Baadaye nikabadili biashara na kwenda upande mwingine. Tulikuwa tukiwasiliana na mwisho tukaenda akanionesha mzigo wa mayai nikapiga na picha nikamuahidi nitampa connection.

Mpak siku nakutumia ujumbe alinihakikishia kuwa anayo mengi ya kutosha na bahati mbaya nilikuwa nimepeleka mzigo huko rufiji hvyo sikuweza kuhakiki. Nimemaliza kuwasiliana na wewe nikampigia simu ndio akanipa majibu ambayo yalifanya nifute na post kabisa kwakuwa niliona nitaingia kwenye kesi.

Natumia nafasi hii kuomba radhi mkuu.
 
Nouma Sana, kumbe ulikuwa dalali😃
 
Asante kwa kunielewa mkuu. Kuna muda tunakuwa na nia njema ila tunaoshirikiana nao wanaharibu.

Wa tz uswahili mwingi... Asipo chelewa, atakuwa mlalamishi, asipokuwa mjanja mjanja tapeli ujue hapo ubora na ujazo sio sawa na mahitaji... Uongo mwingi mbele kiza na mwisho biashara inaharibika... Inconveniences
 
Habari bei ya wiki hii ni 7000 nafata shamba mwenyewe kwanzia tray 200 yawe makubwa na kabla ya kufata mzigo nafika shamba kwanza kukagua na pesa ni cash
 
Pole kwa uliyokutana nayo, mkuu kwa trei kuanzia 200 ni nyingi kwakweli inahitaji upate mfugaji wa large scale kupata lasivyo utaishia kubabaishwa tu na msimu wenyewe wa mvua huu upatikanaji wa mayai unakuwa mgumu kutokana na hali ya hewa isiyo rafiki kwa kuku kutaga kwa wingi.
Mimi ninatoa mayai trei 100 kwa Siku moja bei 7500
0767759699
 
Hi
Ni kweli brother. Mimi pia niliingizwa mkenge nikaweka tangazo hapo juu.

Ilikuwa hv: huyu muuzaji alikuwa akiniletea mayai hapo kabla. Baadaye nikabadili biashara na kwenda upande mwingine. Tulikuwa tukiwasiliana na mwisho tukaenda akanionesha mzigo wa mayai nikapiga na picha nikamuahidi nitampa connection.

Mpak siku nakutumia ujumbe alinihakikishia kuwa anayo mengi ya kutosha na bahati mbaya nilikuwa nimepeleka mzigo huko rufiji hvyo sikuweza kuhakiki. Nimemaliza kuwasiliana na wewe nikampigia simu ndio akanipa majibu ambayo yalifanya nifute na post kabisa kwakuwa niliona nitaingia kwenye kesi.

Natumia nafasi hii kuomba radhi mkuu.
Hiyo ndio Tabia ya wafugaji wengi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom