Natafuta mfanyakazi wa ndani

mimadota

Member
Jan 7, 2017
48
108
Awe binti wa miaka 18-21 awe mkristo na anae penda ibada awe anatokea mkoa wa mbeya sehemu yoyote mshahara 40000 kwa anae itaji ni pm tuma na namba yako ya simu NB maradhi na mahitaji ya kila siku utapewa kwa wakati unapo itaji.
 
Mm pia natafuta kwa maelezo hayo ya mwenzangu hapo juu...kasoro umri...hata akiwa zaidi ya hapo aje
 
Mm, elfu 40? Mtoto mbichi wa miaka 18 unamfugia ndani badala kujijenga kimaisha na kujenga taifa lake, unamweka ndani tena kwa 40,000. Dawa yake ni kupanua wigo wa kima cha chini cha mshahara, ufikie hata kwa watu wanao jishughulisha kazi ndogo ndogo.
 
Awe binti wa miaka 18-21 awe mkristo na anae penda ibada awe anatokea mkoa wa mbeya sehemu yoyote mshahara 40000 kwa anae itaji ni pm tuma na namba yako ya simu NB maradhi na mahitaji ya kila siku utapewa kwa wakati unapo itaji.
maradhi=malazi
 
Mimi mfanyakazi wangu namlipa karibu dollar 70 sasa huyu nashangaa anampa Dollar 18 sijui hatatoka lini ...

Ni vizuri unapomwajiri mtu jitahidi na yeye atoke kimaisha.....

Akitoka ndio furaha yake na mafanikio yako pia....
watu wajinga kama nyinyi ndio mnafanya trust in humanity inapotea.... wewe unajua kipato cha mleta mada!!!? acha kuleta ujuaji wako hapa
 
Mimi mfanyakazi wangu namlipa karibu dollar 70 sasa huyu nashangaa anampa Dollar 18 sijui hatatoka lini ...

Ni vizuri unapomwajiri mtu jitahidi na yeye atoke kimaisha.....

Akitoka ndio furaha yake na mafanikio yako pia....
hatuendani wala hatufanani na pia usilo lijua ni kama usiku wa giza haaaaaaaaaaaaaha ukute ndugu zako wananuka shida.mie ndo kipato changu kiujumla nina mshahara wa 60000 ninampa 40000 haya unaweza kuendelea na mjadara
 
Mm, elfu 40? Mtoto mbichi wa miaka 18 unamfugia ndani badala kujijenga kimaisha na kujenga taifa lake, unamweka ndani tena kwa 40,000. Dawa yake ni kupanua wigo wa kima cha chini cha mshahara, ufikie hata kwa watu wanao jishughulisha kazi ndogo ndogo.
tunaishi kwa kutegemeana
 
Mimi ningekutaftia ila kwa hako ka mshahara hapana nikadogo mno hapana namwonea huruma
 
Mimi mfanyakazi wangu namlipa karibu dollar 70 sasa huyu nashangaa anampa Dollar 18 sijui hatatoka lini ...

Ni vizuri unapomwajiri mtu jitahidi na yeye atoke kimaisha.....

Akitoka ndio furaha yake na mafanikio yako pia....
....acha mashauzi wewe kama kahaba!....
 
najua maisha ni magumu sana wengi wetu.. ila tujitahidi wasaidizi wetu tuwalipe hela anayoweza fanyia kitu hata kidogooo..
 
Awe binti wa miaka 18-21 awe mkristo na anae penda ibada awe anatokea mkoa wa mbeya sehemu yoyote mshahara 40000 kwa anae itaji ni pm tuma na namba yako ya simu NB maradhi na mahitaji ya kila siku utapewa kwa wakati unapo itaji.

Udini ni kitu kibaya sana...Mtu kama wewe hata ukiongoza shirika la umma lazima uajiri wakristo wenzio...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom