Natafuta MELI mbovu

Tangu niachane na ushirikina nimeamua kujikita kwenye biashara zisizojulikana na wengi ana zisizo za kawaida lakini halali na zenye malipo mazuri.. Na baadhi ya wana JF kwasasa wanafaidika nazo mfano
IDO FUEL
Tairi mbovu na mabaki yake
Black carbon powder
Scrap wire
Leeches nknk

Mkuu hongera sana, hicho unakichofanya ni biashara ya pesa nyingi sana kwenye nchi za wenzetu.

Masoko katika biashara ya meli yapo ya aina kuu nne:

1. Freight market
2.Sale and purchase market
3. New ship building market
4. Demolition market

Wewe umeingia hapa kwenye "Demolition market", biashara hii ni ya meli zilizomaliza muda wake wa matumizi au zilizoharibika beyond repair kwa ajali za moto, kuzama etc.

Katika soko hili la "Demolition market" biashara hufanyika kati ya wamiliki wa meli na wavunjaji wa meli yani "ship owners" and "demolition merchants" na kuna madalali wapo pia.

Kuna sites unaingia unakuta watu wana-bid kununua dead ships, ukishinda meli yako inavutwa mpaka ulipotaka kuletewa.

Nchi zinazoongoza katika industry hii duniani ni Pakistan, Bangladesh na India.

Meli huwa recycled into other products kama nondo, waya etc.

Waweza ingia YouTube ucheki "where ships go to die"
 
Kama una connections na wamiliki wenye meli mbovu (write off) nahitaji kununua ziwe kubwa ama ndogo
NB: zile na document kamili
Kiongozi mimi nina connection ya uhakika, na ninajuwa unataka kufanya nini.

Mimi nimekwama vifaa tu inabidi niagize Marekani mambo yamebanana kidogo.

Kama vipi tuyajenge private tuunganishe nguvu kama vifaa unavyo mimi meli zipo.
 
Mkuu hongera sana, hicho unakichofanya ni biashara ya pesa nyingi sana kwenye nchi za wenzetu.

Masoko katika biashara ya meli yapo ya aina kuu nne:

1. Freight market
2.Sale and purchase market
3. New ship building market
4. Demolition market

Wewe umeingia hapa kwenye "Demolition market", biashara hii ni ya meli zilizomaliza muda wake wa matumizi au zilizoharibika beyond repair kwa ajali za moto, kuzama etc.

Katika soko hili la "Demolition market" biashara hufanyika kati ya wamiliki wa meli na wavunjaji wa meli yani "ship owners" and "demolition merchants" na kuna madalali wapo pia.

Kuna sites unaingia unakuta watu wana-bid kununua dead ships, ukishinda meli yako inavutwa mpaka ulipotaka kuletewa.

Nchi zinazoongoza katika industry hii duniani ni Pakistan, Bangladesh na India.

Meli huwa recycled into other products kama nondo, waya etc.

Waweza ingia YouTube ucheki "where ships go to die"
Asante sana sana ngoja nifanye hivyo nitakupa mrejesho
 
Kiongozi mimi nina connection ya uhakika, na ninajuwa unataka kufanya nini.

Mimi nimekwama vifaa tu inabidi niagize Marekani mambo yamebanana kidogo.

Kama vipi tuyajenge private tuunganishe nguvu kama vifaa unavyo mimi meli zipo.
Naomba tuonane PM
 
Back
Top Bottom