Natafuta mdada wa kuzaa nae tu ,alie serious ajitokeze

tunene

Member
Mar 14, 2017
76
86
Mimi nina umri wa 35.kazi mjasiriamali.sibagui rangi,kabila,elimu wala dini.
Nitatoa huduma zote kwa mtoto ikiwemo elimu.
Niko tayari kupima ukimwi na wewe uwe tayari kupima .
Ni-PM
 
Kwanini usioe kabisa maana mtoto anahitaji malezi kutoka pande zote mbili.yanini mwanao utake aishi kama yatima ili hali wazazi wake mtakuwepo kisa tu hutaki kuoa.wasio na wazazi wanatamani wangekuwepo japo wapete UPENDO A u kuna kuna kitu kilikusibu hutaki kuoa unataka mtoto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom