Natafuta mdada wa kazi za ndani

Natafuta mdada wa kazi.

Awe na elimu ya form four na awe na umri zaidi ya miaka 18.
Awe tayari kukaa kwa muajiri at least miezi mitatu.
Msafi, mpenda watoto.
Ajue kingereza cha kuwasiliana.
Awe na maadili ya dini ya kiislamu.

Nina familia ya watoto wawili. Kazi ni usafi, kupika na kucheza na watoto na kuwasaidia homework. Watoto wanaenda shule mpaka saa kumi na moja jioni. Hakuna kufua, kuchota maji, wala kwenda sokoni. Jiko la umeme.

Mshahara 150,000/. PM for more details.
Kwa tusiojua kingeleza kaz tumekosa
 
Kuna msichana ndugu yangu ana elimu ya form 4 na anajua English vizuri tu kama hujapata nikuonganishe nae
 
Ni mkristo ila anamaadili mazuri na anajistiri ana miaka 25
Dini sio shida. Ila awe na maadili. Maana familia ni ya kiislamu na yenye kufuata maadili. Kama mtu amezoea kuvaa nguo haziendani na maadili hatoweza kazi kwani hatoruhusiwa kuvaa hovyo. Ni kwa nia njema tu mtu asije kukwazika.
 
Nipo
Natafuta mdada wa kazi.

Awe na elimu ya form four na awe na umri zaidi ya miaka 18.
Awe tayari kukaa kwa muajiri at least miezi mitatu.
Msafi, mpenda watoto.
Ajue kingereza cha kuwasiliana.
Awe na maadili ya dini ya kiislamu.

Nina familia ya watoto wawili. Kazi ni usafi, kupika na kucheza na watoto na kuwasaidia homework. Watoto wanaenda shule mpaka saa kumi na moja jioni. Hakuna kufua, kuchota maji, wala kwenda sokoni. Jiko la umeme.

Mshahara 150,000/. PM for more details.
nipo tayari kwa hiyo Kazi japo kuongea kiingeleza labda simple English naweza na kuandika pia maadili ya kiislamu nayaweza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom