Natafuta mchumba

mfarisayo

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
5,161
2,001
Tembelea sana Nyumba za ibada hasa walokole huko ukienda siku ya pili tu utapata.
 
PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,211
8,677
Mkuu, wachumba wako wa kumwaga hapa utachoka mwenyewe. We kuwa mvumilivu, na na ujitahidi kutoa michango yako ya hoja zilizosimama hapa, naamini utafanikiwa tu...Ukiwa na haraka utachemsha.
 
roselyne1

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
1,369
91
mie naona kuwe na jukwaa la singles kama lilivyo la utambulisho,mtu anamwaga cv yake huko na contacts ili mtu akiwa interested anamcontact......!!wengine wanaohitaji wanakuwa wanabarizi huko....invisible do ze nidful...lol
 
Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,866
984
mie naona kuwe na jukwaa la singles kama lilivyo la utambulisho,mtu anamwaga cv yake huko na contacts ili mtu akiwa interested anamcontact......!!wengine wanaohitaji wanakuwa wanabarizi huko....invisible do ze nidful...lol
Na wewe unatafuta tukutafutie? nipe CV zako kwa PM nikutafutie anayekufaa. Nimesaidia wengi wa aina yako. Mie mwenzio ninaye tayari lakini nina ndugu na rafiki zangu wanaohitaji.
 
klorokwini

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
8,664
5,031

na mimi ndio niwe mod wa hilo jukwaa. CV zote espesheli za kinadada zipite transit kwangu kwa ajili ya uhakiki (hii ni kuhakikisha hakuna udanganyifu na uzalilishaji wa kijinsia unafanyika kupitia PM). nipigie debe basi
 
roselyne1

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
1,369
91
Na wewe unatafuta tukutafutie? nipe CV zako kwa PM nikutafutie anayekufaa. Nimesaidia wengi wa aina yako. Mie mwenzio ninaye tayari lakini nina ndugu na rafiki zangu wanaohitaji.

hapana mie sitafuti asante kwa kujitolea kunitafutia,ila ninaye wangu kitambo....nimeona karibu kila week kuna mtu anajitokeza kutafuta mchumba...ndio maana nikasema hayo.:whoo:
 
roselyne1

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
1,369
91
na mimi ndio niwe mod wa hilo jukwaa. CV zote espesheli za kinadada zipite transit kwangu kwa ajili ya uhakiki (hii ni kuhakikisha hakuna udanganyifu na uzalilishaji wa kijinsia unafanyika kupitia PM). nipigie debe basi

ningekupigia,ila nahisi umeoa hivyo unatakiwa ukae mbali na hilo jukwaa usije shawishika kufanya infidelity..afu mama klorokwini akatulaumu bure hapa...
 
klorokwini

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
8,664
5,031
ningekupigia,ila nahisi umeoa hivyo unatakiwa ukae mbali na hilo jukwaa usije shawishika kufanya infidelity..afu mama klorokwini akatulaumu bure hapa...

dah! samtaimu ukiingia hapa JF unasahau hata kama una waif, senksi kwa kunikumbusha, acha nikambembeleze mamaa kidogo.

UPDATE: klorokwini will not be richebo for today afta this post. (reason: marriage renovation).

please leave the message afta the tone. twiiiiii
 
Jituoriginal

JF-Expert Member
Feb 8, 2010
363
30
Mkuu, wachumba wako wa kumwaga hapa utachoka mwenyewe. We kuwa mvumilivu, na na ujitahidi kutoa michango yako ya hoja zilizosimama hapa, naamini utafanikiwa tu...Ukiwa na haraka utachemsha.
Mkuu vijicenti vipo tena mbaka hoja'wazee wanataka jibu mapema.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom