Natafuta mchumba


M

Mtama

Member
Joined
Nov 8, 2010
Messages
64
Likes
0
Points
0
M

Mtama

Member
Joined Nov 8, 2010
64 0 0
Ninahitaji mke so nimeamua kutafuta mchumba atakae kuja kuwa my wife,sihitaji wanafunzi labda wa chuo poa,aliye tayari tuwasiliane kwa namba hizi;0652505115,0769072588 na 0786256380
 
X-PASTER

X-PASTER

Moderator
Joined
Feb 12, 2007
Messages
11,649
Likes
133
Points
160
X-PASTER

X-PASTER

Moderator
Joined Feb 12, 2007
11,649 133 160
Naona siku hizi kuna kundi kubwa la wanachama wapya wanao tafuta wachumba, kulikoni!?
 
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
45,388
Likes
31,626
Points
280
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
45,388 31,626 280
wew mbona hujajieleza ................!!!!una kazi ,una hela ? ngapi? una gari ? japo watu hawapendi kuzungumzia ila ni plus kubwa sana
 
tunalazimika

tunalazimika

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Messages
1,100
Likes
4
Points
135
tunalazimika

tunalazimika

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2010
1,100 4 135
haya kambi za makapela kaz kwenu_pata potea hiyo changamken
 
WiseLady

WiseLady

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2010
Messages
3,248
Likes
20
Points
135
WiseLady

WiseLady

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2010
3,248 20 135
Nadhani kauli mbiu ya sasa ni kutafuta wachumba,kila la kheri Mtama
 
faithful

faithful

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2010
Messages
380
Likes
12
Points
35
faithful

faithful

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2010
380 12 35
jieleze bana una umri gani una mshiko au marioo,una mvuto gani,elimu etc
hauwezi kupata mwanamke bila kujiweka hadharani bana!
 

Forum statistics

Threads 1,236,959
Members 475,327
Posts 29,274,766