Natafuta mchumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mchumba

Discussion in 'Love Connect' started by Mabelana, Sep 17, 2010.

 1. M

  Mabelana JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Habari wadau wote kwa heshima na taazima napenda kuwataarifu kwamba natafuta mchumba, maana nimechoka kuishi peke yangu, awe mkarimu, mchangamfu, asiwe mweupe sana yaani awe na ngozi ya sili kabila lolote, awe mkristu elimu yoyote, tafadhali mwenye sifa hizo atwange kwenye email hii. vonostust@gmail.com.
   
 2. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,812
  Trophy Points: 280
  hujasema wewe ni jinsia gani.?
  weka picha yako
  alafu post yako kwanza humu unaanza kutafuta wachumba!
  kinadada/kaka wa JF watakuwa impressed na wewe pale utakapokuwa unachangia hoja na kutoa mawazo timilifu katika thread mbalimbali...
  kazi kwako sasa
   
 3. T

  The Lady Member

  #3
  Sep 18, 2010
  Joined: May 22, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Its very possible pia ikawa ni post yake ya kwanza na ameamua kufanya hivyo baada ya kugundua kwamba ktk JF kuna vimwana wenye sifa za kuwa wake za watu! Hongera kaka kuwa na msimamo huo, jamani wenye sifa jitokezeni bac... rizki ndo hizo... kila la kheri inshallah.
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,021
  Trophy Points: 280
  Wewe Ze lady ....kwanza hujambo? Pili una undugu wowote na Sheikh Yahaya Hussein? Tatu umejuaje kama dada/kaka mabelena ni mwanaume???
   
 5. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #5
  Sep 20, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Post ya kwanza na kutafuta mchumba hii kali watajitokeza usijali
   
 6. l

  lwangwa Member

  #6
  Sep 20, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  full post ya hiyo picha ukilema eti post kadi hatutaki
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nenda http://www.eharmony.com/ utapata bwana
   
 8. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Mchumba ni mtu aliyechumbiwa au?! kwahiyo unataka hivyo hivyo?
   
 9. mtuwawatu

  mtuwawatu Senior Member

  #9
  Sep 20, 2010
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kama sisiemu na kuomba kura vile
   
Loading...