Natafuta Mchumba

Dec 3, 2013
9
0
Mr salumu yasini nina ishi mbeya town natafuta mchumba mrembo awe na umri 18-20years na awe amesoma atleast form4 to form6,mm nasoma chuo jijini mbeya mwaka 2.wasiliana kwa namba 0657134330 or salumuyasini@gmail.com
 
Mbeya wako weng sana labda kama hawaonekani maana asilimia kubwa mablack beuty
 
kwanini usitafute demu hapo chuoni? chuoni ndo kuna mademu wakali kaka! huku kwenye mitandao utapata mabibi wazee tu ndugu yangu.
 
Mazee hebu piga piga misele hapo mitaa ya Teku, Mzumbe au upande wa pili kule Uhasibu lazima utapata totoz nzuri...

Ukiona wa chuo hawakufai basi nenda mitaa ya Jacaranda, Block T au Sae kuna totoz za kishua unaweza opoa mmoja...

Usitafute totoz za Simike, Mama John, Soweto, Nzovwe wala Mbalizi maana zitakutangazia shida tu wakati uchumi wa JK huu hausomeki...

Mr salumu yasini nina ishi mbeya town natafuta mchumba mrembo awe na umri 18-20years na awe amesoma atleast form4 to form6,mm nasoma chuo jijini mbeya mwaka 2.wasiliana kwa namba 0657134330 or salumuyasini@gmail.com
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom