Natafuta mchumba

Lugano5

R I P
Jul 15, 2010
4,520
755
Natafuta mchumba kuanzia miaka 18-22 ,awe na sifa zifuatazo

1.mweupe bila mkorogo/mweusi black beuty

2.awe na elimu ya kuanzia form 4 au kuendelea mwisho bachelor

3.awe na heshima na maadili kama mtanzania

4.mwenye kufocus maendeleo

...niko serous ni PM kwa maelezo zaidi
 
hujasema wewe ni wa jinsia gani na unatafuta mchumba wa jinsia gani. jieleze kidogo, halafu humu mbona pagumu kupata, weka na sifa zako tukujue hayo ni mambo rahisi.
 
Siku hizi hakuna wachumba kuna wachunaji tu........................Asanteee....!:biggrin1::biggrin1:
 
nenda sokoni wamejaa kibao au hujui kutong'oza nn omba usaidiwe utapata jini humu shauri yako
 
Natafuta mchumba kuanzia miaka 18-22 ,awe na sifa zifuatazo

1.mweupe bila mkorogo/mweusi black beuty

2.awe na elimu ya kuanzia form 4 au kuendelea mwisho bachelor

3.awe na heshima na maadili kama mtanzania

4.mwenye kufocus maendeleo

...niko serous ni PM kwa maelezo zaidi
kwa hiyo kama ana zaidi ya degree inabidi vyeti vingne afiche
 
Kuanzia lini masharo Baro wameanza kuoa?
Usitake kutuharibia mabinti zetu, maana nyie vijana wa siku hizi mnaonja kwanza ndio mambo mengine yafuate
Natafuta mchumba kuanzia miaka 18-22 ,awe na sifa zifuatazo

1.mweupe bila mkorogo/mweusi black beuty

2.awe na elimu ya kuanzia form 4 au kuendelea mwisho bachelor

3.awe na heshima na maadili kama mtanzania

4.mwenye kufocus maendeleo

...niko serous ni PM kwa maelezo zaidi
 
Last edited by a moderator:
BigBooty115.jpg
 
Natafuta mchumba kuanzia miaka 18-22 ,awe na sifa zifuatazo

1.mweupe bila mkorogo/mweusi black beuty

2.awe na elimu ya kuanzia form 4 au kuendelea mwisho bachelor

3.awe na heshima na maadili kama mtanzania

4.mwenye kufocus maendeleo

...niko serous ni PM kwa maelezo zaidi

nenda uchagan wa,meja weng na wengne tunawachia watunze wazewetu fastjet 32 alf uku utajuta
 
Kuanzia lini masharo Baro wameanza kuoa?
Usitake kutuharibia mabinti zetu, maana nyie vijana wa siku hizi mnaonja kwanza ndio mambo mengine yafuate
bujibuji, mimi niko sirias na wala sio mwaribifu kama unabinti yako au mtoto wa ndugu yako mwenye sifa nilizotaja hapo juu ni PM
,
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom