Natafuta mchumba...

B'REAL

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
4,279
2,733
wasifu wangu,mrefu ila sio sana wastani,brown colour sinakitambi,gari,mchizi wa mtaa,sina chapa naishi geto na godoro tu,breakfast kwangu anasa,ushishangae hata mchana siku nyingine napiga neutral,ajira za kuunga unga town mara flycather,mara dalali mradi mkono uwende kinywani.alio tayari ani pm kwa maelezo zaidi,nipo arusha clock tower
 
Jamani hata kama pesa sio kigezo, kwa CV hiyo isiyoonesha kitu positive zaidi ya kutokuwa na kitambi (inaweza maanisha underfed pia), unategemea watu wakuPM?

Nina amini unatania!
 
Msema kweli mpenzi wa Mungu. Nkifika Kigali nitakutafuta.

Wewe ni feki nimesubiriiii weekend mpaka ikaisha sioni mtu....................nitafute bana.................ila kesho nakwenda Burundi mpaka Jumapili ndo narudi itakavyokuwa utaniambia.........................
 
Ratiba zilipandiana. Ila nkija i will let u know.. Usikate tamaa mdada.
 
kaunga banaa...saa kama life style langu ndo hilo
Jamani hata kama pesa sio kigezo, kwa CV hiyo isiyoonesha kitu positive zaidi ya kutokuwa na kitambi (inaweza maanisha underfed pia), unategemea watu wakuPM?

Nina amini unatania!
 
Mmmhhhh hapa utatoka kapa kwa huo wasifu wako......................
sasa dada angu dena amsi unanisaidi aje?haya mi nirasterman,kama umezoea kula nyama kwangu full dagaa plus bunyebwa,italian food,ila na upendo sana kuliko mshumaaa
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom