Natafuta mke

Hr01

Member
Jun 15, 2021
35
38
Naitwa Sam
Miaka 35
Naishi moshi
Kazi yangu biashara
Kabila mchaga
Dini Mkristo,, KKKT
Mweusi mrefu
Sio mnene wala mwembamba sana

NATAFUTA MKE MTARAJIWA MWEYE VIGEZO VICHACHE TU KM IFUATAVYO:
Jina lolote
Kabila lolote
Dini yoyote
Umri kuanzia 25- 35
Awe anaishi mkoa wowote
Awe na kazi yoyote halali haijalishi ht km ya kipato kidogo mradi anajishughulisha
Awe mweupe au mweusi
Awe mwembamba au mnene
Kama ana watoto bas si zaidi ya wawili.
Ni hayo tu mengine tutarekebishana na kuvumiliana.

NB; NAJUA WENGI MTASEMA HUMU HUWEZI PATA MKE NAJUA ILA MKE AU MUME ANAPATIKANA POPOTE TU HT HUMU WAPO PIA MI NAAMINI HIVYO MAANA WAPO WALIOPATA TUSIKATISHANE TAMAA. KAMA YUPO MWANAMKE MWENYE UHITAJI NA YUPO SERIOUS NJOO DM TUFAHAMIANE ZAIDI NA HUKO KILA KITU UTAKIPATA PICHA NA MAMBO MENGINE. Karibu sana. Asanteni.
 
Sam... Samwel, Samson
Jina zuri Ila tatizo nina mzio na kabila ilo...

Natania mkuu.

Tunakuombea upate wa kufanana nae..
 
 
Naitwa Sam
Miaka 35
Naishi moshi
Kazi yangu biashara
Kabila mchaga
Dini Mkristo,, KKKT
Mweusi mrefu
Sio mnene wala mwembamba sana

NATAFUTA MKE MTARAJIWA MWEYE VIGEZO VICHACHE TU KM IFUATAVYO:
Jina lolote
Kabila lolote
Dini yoyote
Umri kuanzia 25- 35
Awe anaishi mkoa wowote
Awe na kazi yoyote halali haijalishi ht km ya kipato kidogo mradi anajishughulisha
Awe mweupe au mweusi
Awe mwembamba au mnene
Kama ana watoto bas si zaidi ya wawili.
Ni hayo tu mengine tutarekebishana na kuvumiliana.

NB; NAJUA WENGI MTASEMA HUMU HUWEZI PATA MKE NAJUA ILA MKE AU MUME ANAPATIKANA POPOTE TU HT HUMU WAPO PIA MI NAAMINI HIVYO MAANA WAPO WALIOPATA TUSIKATISHANE TAMAA. KAMA YUPO MWANAMKE MWENYE UHITAJI NA YUPO SERIOUS NJOO INBOX TUFAHAMIANE ZAIDI NA HUKO KILA KITU UTAKIPATA PICHA NA MAMBO MENGINE. Karibu sana. Asanteni.
 
Naishi Moshi
Umri wangu 35
Mfanyabiashara
Mkristo

Nahitaji mwenza wa maisha
Mwanamke alie serious na yuko tayari tuyajenge tuje kuoana
Umri kuanzia 25.

Mwanamke mwenye uhitaji na alie tayari anicheki DM.

FB_IMG_16432917046410416.jpg


Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Nina umri miaka 35,
Naishi Moshi
Kazi ni mfanyabiashara

Sifa za mwanamke naemuhitaji
Umri kuanzia 25-35
Awe anaishi Moshi au mikoa ya jirani
Awe amejiajiri au kuajiriwa
Kama single mother awe na mtoto mmoja sio zaidi ya mmoja.

Kama yupo mwanamke alie serious karibu tuyajenge. Anicheki whatsap kwa namba hii 0719010392.

NB; kwa walio serious na uhitaji wa mume tu kama upo kujifurahisha naomba kaa mbali na mimi plz.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom