Natafuta mchumba

Ze Roberto

Member
Oct 26, 2016
43
34
Habarini wakuu,,,, bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye maada kuu.Nipo hapa kutafuta mchumba wa kike ambaye basi kwa namna moja au nyingine mambo yakienda vizuri awe mke wangu.Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu na nimeajiriwa kanda ya ziwa ndo makazi yangu yalipo..Dini yangu ni mkristu dhehebu la roman Katholiki.. Umri wangu ni 29 years.. Hivyo basi kwa umri huu ni sahihi kabisa kwangu kuoa.

VIGEZO KWA YULE NINAYEMTAKA.
-awe mcha mungu na mwenye hofu ya mungu.
-Umri ni kuanzia miaka 18 hadi 23
-Dini yake awe mkristo tuu
-Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea
-Awe tayari kuishi kanda ya ziwa.
-Asiwe mfupi sana
- Rangi yake iwe ya maji ya kunde au awe mweupe.

Kwa aliye tayari aje pm ili tuanze kuyajenga mapema. Nipo serious sana na hii inshu kwa hiyo na atayekuwa tayari awe serious pia.Familia ni muhimu sana katika maisha ya mwanadamu hasa ukimpata mtu anayeeleweka vizuri.. Ni heshima pia katika jamii.Nimechoka maisha ya ujana nataka nitulie.Kama nilikimbia malezi ya upadri ni wakati sasa wa kuitendea mema sakramenti ya ndoa.

Ahsanteni na karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitafute ni pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom