Natafuta mchumba

ndusyepo

Senior Member
Jul 2, 2013
165
41
Habarini zenu wana JF,

Kwa jina naitwa Langston, nimejitokeza hapa kwa lengo moja tu kubwa la kutafuta ubavu wangu, mi ni mwajiriwa naishi Dar maeneo ya Tabata, umri wangu ni 24 ni mweusi na mrefu na elimu yangu ni diploma.

Sifa kuu ya binti uwe unajua kupenda na uwe mkweli pia uwe unajishughulisha yaani uwe mtafutaji pia uwe mkazi wa Dar es Salaam, dini yeyote.

Kwa uliyetayari please njoo PM .

NB: NIKO SERIOUS SANA PLEASE HUTANI SITAKI.
 
Nikukodishie demu wangu mkuu ...
Kwa siku utanipa 20,000/= tu.
HIYU HAPA
65ec78c3b4f41242058b3c6801773421.jpg
 
Ndio kusema mitaani,shuleni au kazini huko umekosa? Sikukatishi tamaa maana kunawatu huku wanakuja kututhibitishia kwamba wameoana,watakupm
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom