Natafuta mchumba

mwanairinga

Senior Member
Dec 21, 2015
179
12
Habari wana jf,
Mimi ni kijana wa kiume naishi dar nimeajiriwa na taasisi ndogo ya fedha dar,natafuta mchumba ambaye yupo serious mwenye vigezo vifutavyo
1.awe mkisto
2.awe mrefu wastani na mnene wa kati rangi mweusi
3.awe tayari kwenda kupima HIV
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom