Natafuta Mchumba wa kuoana naye.

Jnchimbi

Member
Dec 4, 2011
37
7
Mimi ni msichana nina miaka 27, ninatafuta mchumba mwenye mapenzi ya kweli,asiwe mlevi wa kilevi chochote,sichagui dini,rangi wala kabila,ambaye atakuwa tayari tuanzisha familia,awe tayari tupime ukimwi.Mimi kwa sasa naishi na kufanya kazi hapa Austin Texas USA,si lazima awepo hapa Marekani hata akiwa Tanzania au popote pale kwangu haina shida kwa sababu tutajitahidi kwa pamoja tuonane kwa kuja huku nilipo au mimi kumfuata Tanzania. Tafadhali naomba kwa aliye serious tu aniandikie kwenye email hii;

anneyfr@yahoo.com
 
Mimi Nina Vigezo Vyote,Na Nina Kawaida Ya Kumpenda Na Kumlinda kwa nafsi yangu Yote, Yule Anipendae Kwa Dhat!i....
Vipi Kuhusu vigezo Vya Kazi,
Elimu Na
Umri?
 
Mmmmh 27 hujatokewa wala kuchumbiwa basi una tatizo.
Yaani mama tokea huko hujapendwa au kupenda hadi ulipofikia mmmmh haya bana USED
 
Mimi nio safi kabisa na mtaalamu katika maswala yetu yale ambayo yatajufanya usitoke njeea ya ndoa.
 
Mimi ni msichana nina miaka 27, ninatafuta mchumba mwenye mapenzi ya kweli,asiwe mlevi wa kilevi chochote,sichagui dini,rangi wala kabila,ambaye atakuwa tayari tuanzisha familia,awe tayari tupime ukimwi.Mimi kwa sasa naishi na kufanya kazi hapa Austin Texas USA,si lazima awepo hapa Marekani hata akiwa Tanzania au popote pale kwangu haina shida kwa sababu tutajitahidi kwa pamoja tuonane kwa kuja huku nilipo au mimi kumfuata Tanzania. Tafadhali naomba kwa aliye serious tu aniandikie kwenye email hii;

anneyfr@yahoo.com

unawatafuta ubaya kaka zetu wafikikrie kuishi majuu
 
please naomba unipe assurance kwamba sehemu ya kukutana itakuwa US, sasa ndo ile ndoto yangu ya kufika US itakapo timia

ama kweli ndo inaelekea kutimia sasa
 
unawatafuta ubaya kaka zetu wafikikrie kuishi majuu

hapa atakayejitokeza atachumbia USA kama eneo lakin sio wewe kama binadam,akishaujua mji ndo utakoma na vituko vyake bidada!omba Mungu atakujibu kwa wakati!kuna watu Wako very ambitious kwenda nje ndugu ucje beba kizunguzungu a.k.a majanga ukijua ni mchumba mwaya
 
Mimi ni msichana nina miaka 27, ninatafuta mchumba mwenye mapenzi ya kweli,asiwe mlevi wa kilevi chochote,sichagui dini,rangi wala kabila,ambaye atakuwa tayari tuanzisha familia,awe tayari tupime ukimwi.Mimi kwa sasa naishi na kufanya kazi hapa Austin Texas USA,si lazima awepo hapa Marekani hata akiwa Tanzania au popote pale kwangu haina shida kwa sababu tutajitahidi kwa pamoja tuonane kwa kuja huku nilipo au mimi kumfuata Tanzania. Tafadhali naomba kwa aliye serious tu aniandikie kwenye email hii;

anneyfr@yahoo.com

Naweza sema nina mashaka nawe
Uliweka Tangazo mdau dada Anna anatafuta mchumba. ~ JIACHIE

Then upo apa tena, Kuna kitu subiri nione mwisho wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom