Natafuta mchumba wa kuoa

Captain 666

JF-Expert Member
Nov 5, 2021
648
1,187
Habari wakuu kwa ujumla na wadada na wamama mliomo hapa.

Natafuta mchumba wa kuoa . Narudia wa kuoa na kuishi nae. Awe dini yeyote, kabila lolote, elimu yeyote japo akiwa mchamungu itapendeza zaidi .

Akiwa na mtoto jpo mmoja pia sio mbaya. Umri kuanzia 28 Hadi 35 .

Mm umri wangu ni 45 na Nina watoto 4 .

My take:

Ukiona haikuhusu usiongee mambo mengi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom