Natafuta mchumba wa kuoa (msichana)

Hiz n baadhi tu ya tabia zako
Screenshot_20191006-163210.jpeg
 
e
Ndugu zangu habari za leo? Kama kichwa cha habari inajieleza nahitaji mchumba wa kuoa msichana Elimu yangu degree,miaka 39, kwa sasa naishi nje ya nchi kwa mkataba ya miaka mitatu,sina mtoto,mrefu,mnene kidogo giant,mweusi,sura kawaida sio handsome wala si ugly.

Sifa za ninae mtaka:
Awe mweupe au maji ya kunde
Mrefu na awe na kiwowo hata kidogo
Elimu kuanzia form four
Asiwe na mtoto
Awe tayari kuishi nchi nyingine tofauti na Tanzania.
Awe na tabia njema na awe muelewa(understanding)
Dini napreffer hasa mkristo

Nawasilisha.kama uko tayari tuwasiliane Pm na tutayajenga vizuri tu.Ndoa upangwa na MUNGU njoo tuzungumze.
kuwa sirias miaka 39 childless? wewe ni spermless?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom