Natafuta mchumba wa kuoa awe wa kike anayejitambua

Utamuwayesu

Member
Sep 30, 2018
15
45
Hi,

Naitwa JM, natafuta mchumba wa kuoa mwakani tuishi mume na mke. Naishi Dar, umri wangu 33, dini mkristu, Elimu chuo, mrefu kiasi, sio mnene sana.

Nimtakaye asiwe mnene sana, mrefu, sina ubaguzi wowote mwenye umri wa miaka kati ya 25-35, mwenye hofu ya Mungu, wasiliana nami kwa PM
 

mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
13,293
2,000
Atakuwa anamwamkia SHIKAMOO kabla ya kuanza kumuoa kila siku.
Hayana umri hayo mambo. Hata mtume alimuoa bi Khadija wakaishi kwa amani upendo na furaha sana
Juzi Dr Pius nae kajitwalia binti mdogo wa kuendelea nae kwenyensafari ya maupendo
 

Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
6,529
2,000
Hayana umri hayo mambo. Hata mtume alimuoa bi Khadija wakaishi kwa amani upendo na furaha sana
Juzi Dr Pius nae kajitwalia binti mdogo wa kuendelea nae kwenyensafari ya maupendo
😁😁😁🤣🤣🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️Shikamoo babu kisha 🤸‍♂️🤸‍♂️sarakasi na 😍 malove vinaendelea
 

mbenda said

JF-Expert Member
Apr 13, 2019
611
1,000
Hili tangazo limekaa kiaina sanaaaaaaa, anatafuta mchumba WA kuowa alafu awe mwanamke.

Hivi hapa bongo kuna mtu anaweza akaandika anatafuta mchumva wa kuowa alafu awe WA kiume?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom