Natafuta mchumba wa kike

Nkurukumbi

Senior Member
Sep 6, 2013
196
76
Nina umri wa miaka 28, mtumishi wa serikali katika wizara fulani hapa Dar, urefu wangu 175-180cm, unene 75kg. elimu yangu degree holder, sura yangu maji ya kunde. Napendelea kuwatch football na kutoka out hasa sehemu za mbali na jiji.

Sifa za ninayemuhitaji
Umri=18-27
kabila=lolote tu
Elimu=kuanzia form 4 mpk degree
Sura= ya kuvutia, rangi yoyote tu
Dini= Mkristo au dini nyingine aliye tayari kubadili.
Aliye tayari anitumie PM.
 
Hukupendezwa na mm?

Dada ukiona kimya, hautafutwi, hautakwi, basi jijue wewe ni kinyago cha mpapule.

Siwezi hata siku moja kuamini kuwa mwanamke mzuri anaweza akawa "single" halafu yeye ndiye atafute wanaume.

Wabovu mtasubili sana.
 
Mshukuru Mungu kwa kuwa wewe ni mzuri@HAMY

1. Mimi ni mwanaume. Kama ulitaka kunisifu basi niite handsome.

2. Usijifanye kukubali haraka haraka ukadhani utakimbia fact nilizoweka hapo.

3. Wanawake aina yako mnapotezea wanaume wengi muda wao. Yani mtu anakupa attention then mnaonana, hicho anacho kikuta huko kinakuwa siri yake, hata anaogopa kusema kwa marafiki kuwa nimekutana na mwanamke.

4. Kama mwanamke unajiona mbovu, basi kausha tu, huenda siku ukapata. Ila sio kuja kwenye mitandao kutafuta wanaume kwa kuokoteza okoteza.
 
Tatizo nilikukataa ndo maana unapondea, utakaa sanaaaa, unalo wewe

Jipe moyo dada yangu. Ila hata siku moja siwezi kuja kuonana na mademu wa JF kwa kuwa rafiki zangu tayari wamenitahadharisha na wanawake wa humu.

Mimi niko humu JF muda mrefu sana, na nina marafiki wengi tu, hizi I'd zenu fake mtawadanganya hao wageni wasio wajua. Ila picha zako nimeziona, maana uliwahi kukutana na jamaa yangu. My God, sikufichi, wewe ni mbovu.

Kwanza ni bonge, sasa huoni hadi hapo tayari ni tatizo?
 
Hukujiumba ndugu yangu. Kila mtu anahaki ya kupenda na kupendwa regardless yupo vipi. Kama wewe una mvuto shukuru Mungu tu maana umepewa bure wala huna sababu ya kudharau wenzio.
 
Hukujiumba ndugu yangu. Kila mtu anahaki ya kupenda na kupendwa regardless yupo vipi. Kama wewe una mvuto shukuru Mungu tu maana umepewa bure wala huna sababu ya kudharau wenzio.

hamy d hana tofauti na kichaa, sidhani mtu timamu anaweza msema mwenzake vibaya kiasi hicho, msameheni hajui alitendalo,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom