Natafuta mchumba seriously

Eng Gift

Member
Jan 31, 2021
5
7
Vigezo;

Awe Mkristo awe dhehebu lolote.
Awe ana miaka isiyozidi 25

Awe mweupe, mrefu kiasi na elimu yake isipungue frm4

Pia awe mcha Mungu na awe anahudhuria kanisani.

*******
Mimi ni msabato na ni nina miaka 28

Pia ni mwajiriwa na nimejiajiri

"Mungu awabariki nyote"

No_0626408314.

Pia hata kama ni mwislamu ila unasifa hizo na hata kama utakuwa una shombe ya kiarabu ila utakuwa upo tayari kubadilisha dini kunifuata nipo radhi kwahali yoyote.

"Amina"
Zab 23:1
 
Mbona kama tangazo la kazi?

Form four ya nini tena nyie watu, si tulikubaliana kuwa na elimu haimaanishi mafanikio ya ndoa??
 
engineer unakwama wapi ? chek department ya utilities mbona kuna K za kutosha uko ?
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom