Mimi ni kijana kwenye umri wa miaka 25 elimu yangu ni degree ya uhandisi na dini ni mkristo RC natafuta mchumba wa kike vigezo

Umri 19-27, dini yoyote, mchapakazi na mtu mwenye kujituma na malengo anayejua nn anataka mwenye maisha na awe mcha Mungu. Karibu PM tuyajenge

Ahsante
 
Dogo jitahidi walau ufikie miaka 28 au 30 hivi ndipo ufanye hayo maamuzi ya kuoa. Kwa sasa jitahidi kwanza uifahamu kwa kina dunia ya mapenzi jinsi ilivyo. Zingatia huu ushauri wangu. Wewe ni msomi.
 
Dogo jitahidi walau ufikie miaka 28 au 30 hivi ndipo ufanye hayo maamuzi ya kuoa. Kwa sasa jitahidi kwanza uifahamu kwa kina dunia ya mapenzi jinsi ilivyo. Zingatia huu ushauri wangu. Wewe ni msomi.
Shukran sana nitazingatia sana Sema nilikuwa nahitaji kuwa nae kwenye mahusiano mbeleni huko at least 2-4 years ndio nioe
 
Shukran sana nitazingatia sana Sema nilikuwa nahitaji kuwa nae kwenye mahusiano mbeleni huko at least 2-4 years ndio nioe

Wanawake wa kuwaandaa miaka 2-4 walikuwa ni wale wa zamani. Kwa sasa ni chini ya miaka 2 unaweka chombo ndani. Kwa umri wako huo, jaribu kujenga kwanza misingi ya maisha yako ya sasa na baadae.

Tafuta kiwanja, jenga nyumba, nunua usafiri, anzisha biashara ya ziada nje ya kazi, saidia wazazi, ndugu na jamaa, nk. Wanawake wa miaka hii siyo wale wa kutaka muanzie kwenye 0! Hupenda kuolewa na mtu ambaye tayari ana uelekeo wa kimaisha na pia kimaendeleo.
 
Shukran sana kwa huu ushauri, ujue sometimes unatamani uwe hata na mtu mkashare ideas, plans, funs hata challenges pia. Sema nitayafanyia kazi haya🙏🙏
 
naitwa joshua natafuta mchumba wa kike nina miaka 26 nipo mwanza nimesoma nimejiajili mwenyewe lakini mimi pia ni mkurugenzi wa kampuni fulan hapa Mwanza.
Nahitaji msichana mwenye umri wa kuanzia 20-24 awe ni mcha mungu kama ni muislam akubali kuhama dini kama ni mkkiristu awe black buty
namba ya cm ni 0756097657
 
Wakuu natumaini kuwa wote humu hamjambo!

Naamini kabisa ukiandika jambo humu unakuwa ume uandikia ulimwengu wa Wana JF wote popote walipo ulimwenguni, Wakuu mimi natafuta marafiki wana JF wanao ishi nchi za Oman na Kuwait.

Kwanini nataka marafiki toka nchi hizo? Toka nikiwa mdogo Marehemu baba yangu alikuwa na marafiki wa barua kwa njia ya posta toka nchi tajwa, Kusema ukweli tuliishi maisha ya neema ingawa baba yangu alikuwa tu anafanya kazi za ulinzi ila asikwambie mtu ingawa sisi ni wakristo ilikuwa kila siku kuu za Eid,Pasaka, Xmass etc.
Ilikuwa ni lazima nimsindikize baba yangu western union kupokea zawadi, Kwa bahati mbaya baba yangu R.I.P. alipo fariki 2015 .hakukuwa tena na mawasiliano na familia hizo, Basi kwakuwa mambo hayo nilikuwa nikiyaona toka nikiwa mdogo moja kwa moja iliniingia akilini kuwa nchi hizo wanapatikana marafiki wa dhati kiasi ya kwamba nilitamani baba anipeleke nikulie huko kwa marafiki zake lakini Nadhani Mungu hakupenda iwe hivyo

Natanguliza shukrani kwenu wana JF

Asanteni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom