Natafuta mchumba/ Rafiki wa kike

Sheffer95

Member
Mar 16, 2020
23
75
Mimi ni kijana kwenye umri wa miaka 25 elimu yangu ni degree ya uhandisi na dini ni mkristo RC natafuta mchumba wa kike vigezo

Umri 19-27, dini yoyote, mchapakazi na mtu mwenye kujituma na malengo anayejua nn anataka mwenye maisha na awe mcha Mungu. Karibu PM tuyajenge

Ahsante
 
Sheffer95

Member
Mar 16, 2020
23
75
Ungekua mtu mwenye malengo, unaejua nini unataka, na unaejituma ungeandika huu uzi?

Don't mind me.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kukumind kwasababu hiyo ni perception yako tu, na hujui mazingira yangu binafsi, ya kazi na hata association niliyopo. That's why umejiongeza kunitengenezea reality yako. Anyway thanks🙏
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
3,903
2,000
Dogo jitahidi walau ufikie miaka 28 au 30 hivi ndipo ufanye hayo maamuzi ya kuoa. Kwa sasa jitahidi kwanza uifahamu kwa kina dunia ya mapenzi jinsi ilivyo. Zingatia huu ushauri wangu. Wewe ni msomi.
 
Sheffer95

Member
Mar 16, 2020
23
75
Dogo jitahidi walau ufikie miaka 28 au 30 hivi ndipo ufanye hayo maamuzi ya kuoa. Kwa sasa jitahidi kwanza uifahamu kwa kina dunia ya mapenzi jinsi ilivyo. Zingatia huu ushauri wangu. Wewe ni msomi.
Shukran sana nitazingatia sana Sema nilikuwa nahitaji kuwa nae kwenye mahusiano mbeleni huko at least 2-4 years ndio nioe
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
3,903
2,000
Shukran sana nitazingatia sana Sema nilikuwa nahitaji kuwa nae kwenye mahusiano mbeleni huko at least 2-4 years ndio nioe
Wanawake wa kuwaandaa miaka 2-4 walikuwa ni wale wa zamani. Kwa sasa ni chini ya miaka 2 unaweka chombo ndani. Kwa umri wako huo, jaribu kujenga kwanza misingi ya maisha yako ya sasa na baadae.

Tafuta kiwanja, jenga nyumba, nunua usafiri, anzisha biashara ya ziada nje ya kazi, saidia wazazi, ndugu na jamaa, nk. Wanawake wa miaka hii siyo wale wa kutaka muanzie kwenye 0! Hupenda kuolewa na mtu ambaye tayari ana uelekeo wa kimaisha na pia kimaendeleo.
 
Shukran sana kwa huu ushauri, ujue sometimes unatamani uwe hata na mtu mkashare ideas, plans, funs hata challenges pia. Sema nitayafanyia kazi haya🙏🙏
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom