Msimchoshe dada/mama wa watu yeye anataka rafiki anayeweza kuja kuwa mpenzi na hatimaye mzazi mwenza. Hakuna tatizo hapo maana anaweza akapata.
Umri wa miaka 35 kwa mwanaume ni wazi rkwa anayejielewa atakuwa ana mtu na amesimama kimaisha.
Naamini pia na ni wazi pia hata huyu inawezekana aliwahi kuwa na mtu ila labda malengo hayakutimia. Sio Jambo geni. Lakinni pia huwezi kutarajia "bikra" hapa. Vijana mnasema mileage imeenda.

Nawiwa kuandika kwa sababu wadada wengi umri ukienda huwa wanakuwa desperate na kiukweli ni sawa tu kuwa desperate maana kijana aache chuchu saa sita zilizojaa mtaani aje kuhangaika na wbiaewe inataka moyo.
Waadada wa 30+ Wana shida zifuatazo
1. Kujiona wapo sahihi kila wakati; hii inaboa sana.

2. Wadada wa 30+ Wana inferior complex kila utakachosema atahisi unamdharau

3. Kujifanya sitaki nataka, yaani kwao huwa wanafanya kama vile hawataki mahusiano huku moyoni wanataka. Hii huwa gharimu zaidi.

4. Kujifanya wanajua sana kuhusu naisha. Anaweza kuandika anataka mzazi mwenza ila baadaye anafosi ndoa. Know what you want, woman.

Na nyie vijana wa kiume msitumie papara yao kuwaumiza zaidi.
Kama unataka kuwa naye jitahidi kumpenda.
Hizi tabia sio za wote ila 30+ wa Tanzania wapo hivyo. Wanasikiliza sana clip za ushauri kutoka kwa washauri wa masuala ya mapenzi kuliko kuzingatia maisha halisi.

Kila la kheri woman.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee wa kula tunda kimasikhara una ushauri mzuri sana.

Mkuu umeeleza mengi ila kuna vitu haviko sawa katika mtazamo wako kuhusiana na hawa wadada ama wanawake wenye 30+
Nakubaliana na wewe kwenye paragraph ya kwanza ila hizo paragraph nyingine naomba nieleze kwa kifupi.

Moja maelezo yako ni ya jumla jumla kana kwamba umewahi kukutana na wanawake wote wa umri huo.

Mbili; huyu binti ameeleza kuwa anachohitaji ni rafiki na kama kutakuwa na maafikiano basi awe mpenzi mpaka mzazi mwenza, hakuna tatizo katika hilo.

Tatu, hizo tabia ulizoweka hapa unaweza kuzikuta hata kwa binti wa miaka 18. Tuache tabia ya ku-generalize kundi la watu tunamwangalia mtu mmoja.

Nne, kulikuwa na haja gani ya kutoa maneno ya kashfa wakati anayehitajika hapa ni rafiki tu. Inawezekana huwezi kuwa rafiki unaweza ukapita bila kukomenti chochote.

Tano; kila mmoja ana maisha yake yaliyopita (past) lakini huwezi kumhukumu kwa anachopitia sasa hivi.

Muachane dada wa watu na hitaji lake. You never know what is in store for her.

I have seen dozen of girls/women getting married at their 30's.

Respect HER as she is someone daughter ,sister or aunty.

Nimekuele mkuu! Niliteleza tu kwenye maelezo. Pamoja sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila la heri Mkuu

Vijana fursa hii msiiache ipite
Hakuna fulsa huyo mpigaji! We angaria vigezo vyake tu.

Mimi naamini kigezo kikubwa ktk kuoa au kuolewa kikubwa MCHA MUNGU na..AKUPENDE KWELI,
2. Mvumilivu
3.Asihesabu makosa
4 wakusamehe makosa
5 Asiye na makuu

Haya mambo yakipato yatafuatia baadae.
Wanawake wengi wamekuwa watumwa ktk ndoa sababu walikimbilia pesa nk.
 
Habari wapendwa,

Mimi ni kijana ninaejitambua na mwenye malengo, nina miaka 31 naishi Dodoma. najitokeza kwenye jukwaa hili kwa lengo la kutafuta, mwanamke tutakaeweza kuanzisha urafiki/mahusiano yatakayozaa matunda ya kua mke na mme kama tutaendana.

Natamani nipate mwanamke alie serious, mrefu kiasi, awe mkristo mana mimi ni mkristo, mweupe au maji ya kunde, mwenye elimu angalau form four au zoid, miaka kuanzia 23 hadi 29.

Sio lazma awe na kazi but akili ya kupambana na maisha ndio nahitaji ziadi.

Kwa alie serious tu aje inbox tufahamiane zaidi na kuyajenga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom