• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Natafuta mchumba/rafiki aje kua my wife

N

NYUMBANITU

Member
Joined
Nov 21, 2016
Messages
15
Points
45
N

NYUMBANITU

Member
Joined Nov 21, 2016
15 45
Habari wapendwa, mimi ni kijana ninaejitambua na mwenye malengo, nina miaka 31 naishi Dodoma. najitokeza kwenye jukwaa hili kwa lengo la kutafuta, mwanamke tutakaeweza kuanzisha urafiki/mahusiano yatakayozaa matunda ya kua mke na mme kama tutaendana.

Natamani nipate mwanamke alie serious, mrefu kiasi, awe mkristo mana mimi ni mkristo, mweupe au maji ya kunde, mwenye elimu angalau form four au zoid, miaka kuanzia 23 hadi 29.

Sio lazma awe na kazi but akili ya kupambana na maisha ndio nahitaji ziadi.
kwa alie serious tu aje inbox tufahamiane zaidi na kuyajenga.
 
H

Hello beautiful

Member
Joined
Feb 13, 2019
Messages
21
Points
45
H

Hello beautiful

Member
Joined Feb 13, 2019
21 45
Dini na urefu vimenikosesha mume mim


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Forum statistics

Threads 1,403,206
Members 531,115
Posts 34,417,204
Top