Natafuta mchumba mwenye lengo la ndoa na kuanzisha familia

Habari zenu,

Nimekuja kwenu . Nimechoshwa na upweke.
Mimi ni msichana wa 27years, natafuta mchumba ambae atakuwa serious kuwa na familia na si kupotezeana mda.

Sifa zake;
Awe na miaka kuanzia 35-45, awe na kazi nzuri inayomuingizia kipato halali.
Awe na mapenzi ya dhati, msafi, mcheshi, anaejali.

Mimi sina hela kwa hiyo sitaki mwanaume mwenye shida kama zangu.
Mario hawahitajiki.
Nipo serious, nimechoshwa na upweke kwa kweli.
Mwanaume nitakaye mpata, ambae atakuwa mume wangu hatojutia kunifahamu. Nitampenda.

Mnakaribishwa pm.

Sibagui dini.
Umejiita Madam Boss sasa kwa kujipambanua tu huko ulishakuwa shida........ Siku hizi watu wanahitaji Mwanamke Mwenye Unyenyekevu Mbele za Mungu na Mbele ya Mume .. Mwanamke mwenye kujikweza nani anahitaji hiyo BP.. Sometime they way unavyojiweka ndivyo unavyotafisirika, they way unavyojiita na kujibrand ndivyo unavyotafisirika. Hakuna Mwanaume anayehitaji kupokea matatizo kuwa sehemu ya maisha yake watu wanahitaji Mwanamke Mfariji, Muongozaji , mwenye hofu ya Mungu, Mwenye kujali na kupenda Familia ..

@ madam boss
 
hapo juu hakuna mwanamke bali mjinga fulani hivi asiejua anataka nini wala kesho kitatokea nini,yaani nihangaike peke yangu kutafuta alafu wew uje tu uolewe alafu zile mali nilizotafuta mwenyewe ziwe zetu?,pia kama wew ni bikra hapo sawa LA ni shimo la HEWA hapana carry on to wait for some of the best fools at JF to come;
kwanini wanawake wengi mnataka wanaume tuwe na vile vitu ambavyo hamna ndio tuwaoe?,najua neno hili tu,mwanamke wa kusema hayo ni tegemezi tupu sidhani kama anafaa kuolewa ingawa kulingana na maisha haya kuna watu watajifanya waoaji ngoja waje;
sijatukana;
Mbona povu. linakutoka hivyo
 
A word of advise sio lazima utilie maanani.

"HUSBAND MATERIAL IS CREATED, CREATE YOURS"

Kwa namna hii, humu utalia tuu, wanaume siye ni wadonoaji sana na tunapenda kunusanusa tuu. Nikiangalia na huo umri unahitaji awe nao mwanaume, wengine utakuta ni akina siye wenye watoto zaidi ya watatu kila mmoja ana mama ake huko na bado tunaishi kibachela.
Asante
 
hapa kwenye hii miaka sina hakika kama utampata!!

hapa napo umejichanganya bila kujua, unadhani mwanaume mwenye miaka 35+ mwenye pesa kazipata mwenyewe au unatafuta mchepuko!!!
Natafuta mume
 
Umejiita Madam Boss sasa kwa kujipambanua tu huko ulishakuwa shida........ Siku hizi watu wanahitaji Mwanamke Mwenye Unyenyekevu Mbele za Mungu na Mbele ya Mume .. Mwanamke mwenye kujikweza nani anahitaji hiyo BP.. Sometime they way unavyojiweka ndivyo unavyotafisirika, they way unavyojiita na kujibrand ndivyo unavyotafisirika. Hakuna Mwanaume anayehitaji kupokea matatizo kuwa sehemu ya maisha yake watu wanahitaji Mwanamke Mfariji, Muongozaji , mwenye hofu ya Mungu, Mwenye kujali na kupenda Familia ..

@ madam boss
Haya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom