Natafuta mchumba mwema, mwenye exposure!


music mimi

music mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Messages
247
Likes
208
Points
60
Age
36
music mimi

music mimi

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2013
247 208 60
jamani natafuta mchumba mwema wa kufanya nae maisha..mimi ni mvulana mwenye miaka 28,nina elimu ya chuo kikuu,ni mkiristo.....sifa za uyo mchumba awe na umri usizidi miaka 28,dini yoyote,elimu yoyote cha muhimu awe na exposures,,awe anajipenda yani smart ....aliye siriaz ani Pm kwa kuanza kufahamiana
 
music mimi

music mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Messages
247
Likes
208
Points
60
Age
36
music mimi

music mimi

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2013
247 208 60
mbona kimya wapendwa
 
music mimi

music mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Messages
247
Likes
208
Points
60
Age
36
music mimi

music mimi

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2013
247 208 60
Jaman am gettin tired of waiting,,,pls somebody qualified show up dont hesitate...jitokeze wewe unaenifaa am siriaz on this

niPM au weka namba yako nitaku call or watsapp
 
M

Marnah

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Messages
1,121
Likes
10
Points
135
Age
32
M

Marnah

JF-Expert Member
Joined May 3, 2013
1,121 10 135
Hahahhahh,,...
 
kemashafe

kemashafe

Senior Member
Joined
Mar 25, 2013
Messages
134
Likes
26
Points
45
Age
37
kemashafe

kemashafe

Senior Member
Joined Mar 25, 2013
134 26 45
doooon majanga haya
 
Chibolo

Chibolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
3,509
Likes
2,240
Points
280
Age
38
Chibolo

Chibolo

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
3,509 2,240 280
unaonekana una upweke sana pole,hebu nitumie vocha kwenye inbox nikuunganishe na dem 1 mi nimeshamchoka.
 
D

Dr Kingu

Senior Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
155
Likes
0
Points
33
D

Dr Kingu

Senior Member
Joined Jun 13, 2011
155 0 33
sisi madaktari wa binadamu ukisema exposed tuna maana nyingi, mojawapo ni umepima na kugundulika na kale kaugonjwa ka kisasa, i.e HIV. Sasa we unamaanisha nini.
 
music mimi

music mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Messages
247
Likes
208
Points
60
Age
36
music mimi

music mimi

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2013
247 208 60
unaonekana una upweke sana pole,hebu nitumie vocha kwenye inbox nikuunganishe na dem 1 mi nimeshamchoka.
Kweli nina upweke flani naona kuna kitu kikubwa sana kina-miss,,,,,mazingira yangu ya kazi na maisha yananipa wakati mgumu kuonana na watu especially kina dada,kama kukutana nao ni pub au viwanjani tena usiku ambapo naamini sio sehemu nzuri ya kukutana na msichana wa kutulia nae,sasa nikaona nijaribu uku lakini naona uku ndio kugumu zaidi na zaidi watu awako siriaz...sasa sijui nikasimame barabarani nikamate wapita njia au vipi....ila uyo uliyemchoka wewe hapana ningetaka wa hivyo ningewapata wengi tu.
 
music mimi

music mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Messages
247
Likes
208
Points
60
Age
36
music mimi

music mimi

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2013
247 208 60
sisi madaktari wa binadamu ukisema exposed tuna maana nyingi, mojawapo ni umepima na kugundulika na kale kaugonjwa ka kisasa, i.e HIV. Sasa we unamaanisha nini.
Kaka lugha za kikoloni izi hahaha,,,mie nilimaanisha mwenye exposure yaani anaejua vitu vizuri chakula kizuri mavazi mazuri sehemu nzuri malezi mazuri bizness nzuri inshort mwenye upeo wakujua whats going on in this world...asiwe nyuma ya muda kiiivo
 
K

kim jong un

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Messages
479
Likes
96
Points
45
K

kim jong un

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2012
479 96 45
stupid. exposed ni tafsida ya kuathrika. tumia exposure.
 
M

mayasia

Member
Joined
Oct 20, 2011
Messages
47
Likes
1
Points
15
Age
30
M

mayasia

Member
Joined Oct 20, 2011
47 1 15
Upo tayari kunihudumia...wasifu wako?hihihihhihihi
 
Kaunga

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Messages
12,580
Likes
872
Points
280
Kaunga

Kaunga

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2010
12,580 872 280
sisi madaktari wa binadamu ukisema exposed tuna maana nyingi, mojawapo ni umepima na kugundulika na kale kaugonjwa ka kisasa, i.e HIV. Sasa we unamaanisha nini.
Nami hiyo exposed imenistua japo sio tabibu. Exposed to what?
 

Forum statistics

Threads 1,275,227
Members 490,947
Posts 30,536,187