Natafuta Mchumba/mume

Nkashilingi

Member
Jul 21, 2009
8
0
Hello wana jamii, sio masihara jamani hapa najua wote ni watu wazima na wenye akili timamu.

Wasifu wangu.
Jinsia-Kike
Umri-29
Elimu-ya chuo naamanisha graduate
Rangi-kahawa
umbo-No 8 mnene
Dini-Christian
pombe-naonja
kabila-chaga
Ni mwajiriwa kwenye sekta binafsi na mshahara wa kawaida, mambo mengine tutafahamishana kama kutakuwa na maswali zaidi,

wasifu ninaopendelea.
Jinsia-Mwanaume
jisia-30-45
Elimu-lazma awe ni graduate na kuendelea,
Dini-mkistu

Awe mpenda maendeleo, na pia awe ni mtu anaemjua mungu.

Ni hayo tu kwa maswali zaidi waweza kuni email glory.gregory@yahoo.com
naomba kuwasilisha.
 
Mpaka kufikia hapo ondoa tangazo mme umesha mpata nakuomba ulifute kabisaa hesabu umeshampata
 
kila la kheri, mi naona nipo underage.ila nitakupm tu ,mapenzi si hayachagui?
 
ha ha ha binam bwana.......kwani mail yake si ipo hapo mwandikie.....eeh wifi tushapata sie

Hehehe nimeiona ngoja niandike hawala huku nikiambatanisha na vielelezo muhimu. Natamani niende nae kwenye function ya Geoff.
 
ha ha ha binam bwana.......kwani mail yake si ipo hapo mwandikie.....eeh wifi tushapata sie
At last Fidel anaweza kupata jiko, lol! naona wapwa tuandae pesa ya zawadi kwa huyu kabisaaa.
 
At last Fidel anaweza kupata jiko, lol! naona wapwa tuandae pesa ya zawadi kwa huyu kabisaaa.

tumwandalie lakini tusijihakikishie sana maana mmhhh.......labda this one will work out....tunahitaji maombi makali sana
 
Hehehe nimeiona ngoja niandike hawala huku nikiambatanisha na vielelezo muhimu. Natamani niende nae kwenye function ya Geoff.

Fide Fide Fide Fide
Hucheleweshi mwanawani nilidhani umeenda kwenye ajali kule ya moto ya sophia sijui raha towers tupate updates
Nikuambie kitu, hebu jaribu kuieka email address yake kwenye facebook hapo usearch unaeza kuta ni memba pale ukapata kumuona vizuri kwa picha kama ana vigezo baadhi alivyosema
 
Hehehe nimeiona ngoja niandike hawala huku nikiambatanisha na vielelezo muhimu. Natamani niende nae kwenye function ya Geoff.

halafu useme muumba amekutenga.....hivi vitu ni adimu ujue
 
Fide Fide Fide Fide
Hucheleweshi mwanawani nilidhani umeenda kwenye ajali kule ya moto ya sophia sijui raha towers tupate updates
Nikuambie kitu, hebu jaribu kuieka email address yake kwenye facebook hapo usearch unaeza kuta ni memba pale ukapata kumuona vizuri kwa picha kama ana vigezo baadhi alivyosema

Hahahahaha JS bana kwenye moto tayari kwani hapa kwangu mpaka hapo kwa tuktuk ni dk 2 tu wala sio mbali.
Hilo wazo zuri ngoja nizame kwa facebuku maana huyu mchumba mzuri nacho mpendea zaidi nae anaonja kwa hiyo tutaendana tu.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom