Natafuta mchumba/ mume

MDALA

Member
Dec 2, 2012
19
3
Habari wana jf,mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 27, nna elimu ya chuo kikuu,
kwa sasa nnafanya kazi katika taasisi binafsi. natafuta mchumba ambaye atakuwa mume wangu.
awe na umri angalau kuanzia miaka 32 na kuendelea .
sichagui dini wala kabila nko tayari kubadili dini.
awe tayari kupima UKIMWI.
Kwa maelezo zaidi mnaweza kuniPM. AHSANTEN
 
Kwa sisi wa miaka 30 ndio imekula kwetu, anyway nakutakia mafaniko ktk kusearch search kwako ili at last umpate huyo husby wako, ukifanikiwa usiache kutuarifu hapa jamvini.
 
Kwa sisi wa miaka 30 ndio imekula kwetu, anyway nakutakia mafaniko ktk kusearch search kwako ili at last umpate huyo husby wako, ukifanikiwa usiache kutuarifu hapa jamvini.

ahsante cognitivist. napenda mume wangu anizidi angalau miaka mitano, ntawataarifu 2 usijali
 
Kama wewe uko serious weka mawasiliana yako hapa sasaivi ili tu pm au nikupe yangu jibu
 
Kiukweli ni ngeni katika jamii yetu na kupata kisichostahili ni rahisi sana...

Ina maana we are so busy mpaka hatuwezi kukutana na kuchaguana pale tunapoona ni muafaka? But I learned one thing in life...times change therefore I must be flexible in order to accomodate the changes. Probably this works out well for some people!
 
mbona umeficha elimu ya chuo kikuu nn undergraduatedegree au masterdegree???
hebu njibu nikupe saiz umeshapata hongera :israel:
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom