Natafuta Mchumba jamani

DSpecial

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
480
158
Naitwa Salim Athuman, umri wangu ni 27, kwa imani ni Muislamu na kwa sasa ninaishi DSM.
Nahitafuta msichana mwenye umri kati ya 22 hadi 25 na sifa kubwa awe Muislam na mwenye kujiheshimu na kujistiri.
Itakuwa vizuri awe mweupe/ maji ya kunde, mrefu kiasi na mnene kiasi na mwenye elimu at least diploma.

Dhumuni kubwa ni kuwa mchumba wangu kwa sasa na hatimaye Mungu akipenda tuje kufunga ndoa na kuishi pamoja
hapo baadae. Kiukweli nimevumilia sana kuwa mwenyewe kwa kipindi chote nilichokuwa nasoma, japokuwa kwa sasa bado naendelea na elimu zaidi ila nahitaji na mimi kuwa na mwenza wangu. Tafadhali kama upo tayari kuwa nami naomba
tuwasiliane.

email yangu: salimathuman78@yahoo.com

Namba ya simu itafuata baada ya kujuana vizuri
 
We domozege nini wachumba walivyojaa huko nje unatafuta humu, kunavimeo mwanawane
 
we domozege nini wachumba walivyojaa huko nje unatafuta humu, kunavimeo mwanawane

watu wanapata wake humu wewe unasema vimeo?
Halafu kwanini hamuamini kuwa hawa tulionao humu ndo hao tunakuwa nao misikitini na makanisani, mkuu siyo domo zege ni aproach tu ya mtu, achani hizo bwana!
 
mimi sifa zote ninazo hila hijabu ndo siwezi- kujisitiri siwezi mimi mapigo yangu ni kama unavoniona hapo kwa avatar ninakufaa?
 
mimi sifa zote ninazo hila hijabu ndo siwezi- kujisitiri siwezi mimi mapigo yangu ni kama unavoniona hapo kwa avatar ninakufaa?

wewe mgomvi yaani..............lol mwenzio anataka wanaojua kujistiri wewe unakuja na staili hiyo hauzubillah...........
 
mwaya Mungu akutanglie hata humu utampata tu, but angalia usije ukaangkia kwenye mikono ya wale wanaotaka vyeti vya ndoa kama road licence. jipange vizuri sana na usiwe mtu wa msimamo mkali sana ili usije kosa bara na pwani.
 
mimi sifa zote ninazo hila hijabu ndo siwezi- kujisitiri siwezi mimi mapigo yangu ni kama unavoniona hapo kwa avatar ninakufaa?

Wewe size yangu, ingawa bado sijatangaza nia. Naomba ruhusa nitangaze nia.
 
Muonekano wangu hautofautiani sana sifa nilizozitoa kwa nimtafutae. Umbo langu ni mrefu kiasi, mnene kiasi na kwa rangi yangu ya kiasili ni mweupe na nimzaliwa wa mkoa wa Tanga.
 
Vigezo vyote ninavyo ila nawewe weka sifa zako tulinganishe

Muonekano wangu hautofautiani sana sifa nilizozitoa kwa nimtafutae. Umbo langu ni mrefu kiasi, mnene kiasi na kwa rangi yangu ya kiasili ni mweupe na nimzaliwa wa mkoa wa Tanga.
 
Muonekano wangu hautofautiani sana sifa nilizozitoa kwa nimtafutae. Umbo langu ni mrefu kiasi, mnene kiasi na kwa rangi yangu ya kiasili ni mweupe na nimzaliwa wa mkoa wa Tanga.

Tupia basi picha yako wakuone, wakuasses, wafike bei.
 
weka picha yako.utapata soon usiache kurudi kushukuru.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom