natafuta mchumba hatimaye mungu akijalia atakuwa mama wa watoto wangu

Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Jul 14, 2009
2,089
829
habari zenu wapenda mimi ni kijana(mwanaume) mwenye umri wa miaka 28 nina elimu ya chuo kikuu niamajeriwa nina tafuta mwenza wangu awe na sifa zifuatazo
1.mkristo
2.wa wastani(si mnene sana wa si mwembamba sana)
3 awe ana elimu walau form 4 na kuendelea
4.umri miaka 19-26
4.anayejtambua kuwa ni mwanamke na anayehitaji kuthaminiwa kama mama wa watoto
MIMI BINAFSI BAADHI YA SIFA ZANGU NI
engineer by profession
.maji ya kunde
.mwili wastani
.mnyamwezi
kwa maelezo zaidi unaweza nitumia private message .
pia unaweza mueleza rafiki yako kama unaona anavigezo ukipata bahati ya kupitia post hii ASANTENI
 
du, bahati si yangu,nina kigezo kimoja tu kati ya hivyo ulivyotaja
 
wakuu am not kidding niko serious. ila some people wanaona muda wote ni mzaha. ladies yeyote mwenye vigezo hivyo anaweza nipm
 
Hata hao wadada wana machaguo yanayooongozwa na vigezo kaka wewe unavyoongozwa na vigezo ulivoweka, ili wanao-meet vigezo vyako nao waone kama wewe pia una vigezo vya mwanaume wanaohitajii. Rahisisha zoezi kwa kuweka CV yako( wasifu wako pia wa ndani na Nje)

Kila la heri!!!
 
asante BABAUBAYA KWA USHAURI MIMI KWA PROFESSION NI MHANDISI, RANGI YANGU NI MAJI KUNDE NA MWILI WASTANI NINA UREFU WA 167CM
 
habari zenu wapenda mimi ni kijana(mwanaume) mwenye umri wa miaka 26 nina elimu ya chuo kikuu niamajeriwa nina tafuta mwenza wangu awe na sifa zifuatazo
1.mkristo mkatoliki
2.wa wastani(si mnene sana wa si mwembamba sana)
3 awe ana elimu walau form 4 na kuendelea
4.umri miaka 19-24
4.anayejtambua kuwa ni mwanamke na anayehitaji kuthaminiwa kama mama wa watoto.
kwa maelezo zaidi unaweza nitumia private message .


Ningekuwa mimi kwenye Red ningeweka mkristo tu, hayo mambo ya madhehebu tena unaweza kosa Mke bomba kisa Ukatoliki!!!
 
Babaubaya asante mkuu unajua sijui kama atakuwa flexible sana kwenye dhehebu nimeamua kutoa kigezo hichi cha ukatoliki ili iwe rahisi kwenye swala la ndoa lakini kama kuna mkristo ambaye yuko willing kuwa mkatoliki kwangu ni sawa
 
hivi mtu kama mimi mtaniitaje,baba mkristo mama muislamu maana naona vigezo vya ndoa vinanipita juu kwa juu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom