Natafuta mchumba awe na mapenzi ya dhati

ukuwi

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
687
1,000
Natafta mchumba awe anajitambua
Ujuwe hapo Kuna ka utata fulani hvi,hapo katika kijtambua kila mtu anajiona Ana jotambua kwa uelewa wake ata chizi naye Ana jiona Ana jitambua na Ana akili vzuri ila watu waliyo mzunguka ndiyo Wana muona chizi Nakushauri anza kutafuta marafiki na siyo mchumba....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom