Natafuta mchumba ambaye atakuwa mume

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2013
6,916
2,000
Huwa kuna thread zinapandishwa hapa kuzungumzia umuhimu wa mwanamke kuwa ndani ya mahusiano yanayoeleweka kabla hajafika 27 tukiwaambia msi-comment shit maana linalokuja mbele hamlijui mnaishia kutukana “ooh mwanaume kitu gani nina kazi yangu hela napata nina wasiwasi gani” red light ikishawaka mnarudi hapa na id zenu nyengine kutafuta waume.

Miaka 33 still unaweka vigezo hujajua siku hizi kuna kampen vijana waowe mabikra tu sasa wewe umesharuka ruka huko umechoka unakuja kuwatafutia watu shida hapa,je akija mwenye vigezo naye akaweka kigezo chake uwe bikra hiyo bikra unayo?sometimes hiyo miaka umeipunguza nachokushauri chunga sana utakutana na kichwa kibovu akutandike mimba uishie kuwa singo mom maana hapo umeshajaa upepo hata chongo utabebana nae.
 
coolboyjsen

Senior Member
Apr 10, 2021
175
250
naona vigezo sio vingi tunaonewa sn kweny miaka wakati tunauitaji wa mke.
inaweza kua bahati yangu nakuomba pm pls.
 
1kush africa

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
8,622
2,000
Huwa kuna thread zinapandishwa hapa kuzungumzia umuhimu wa mwanamke kuwa ndani ya mahusiano yanayoeleweka kabla hajafika 27 tukiwaambia msi-comment shit maana linalokuja mbele hamlijui mnaishia kutukana “ooh mwanaume kitu gani nina kazi yangu hela napata nina wasiwasi gani” red light ikishawaka mnarudi hapa na id zenu nyengine kutafuta waume.

Miaka 33 still unaweka vigezo hujajua siku hizi kuna kampen vijana waowe mabikra tu sasa wewe umesharuka ruka huko umechoka unakuja kuwatafutia watu shida hapa,je akija mwenye vigezo naye akaweka kigezo chake uwe bikra hiyo bikra unayo?sometimes hiyo miaka umeipunguza nachokushauri chunga sana utakutana na kichwa kibovu akutandike mimba uishie kuwa singo mom maana hapo umeshajaa upepo hata chongo utabebana nae. 

Capslock

JF-Expert Member
May 1, 2016
1,253
2,000
Uko wapi
Naitwa Suzie, natafuta mwanaume mwenye uhitaji wa mke

Sifa zangu:
  • Umri 33
  • Mkristo
  • Mtumishi Serikalini
  • Sijawahi kufunga ndoa na wala sina mtoto

Sifa za Mwanaume nimtakaye:
  • Awe mkristo
  • Mtafutaji
  • Mwenye nia ya kuwa na mke
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom