Natafuta Mbuzi bora wa Nyama Madume aina ya Savanna na Boar hapa Tanzania

Kimanzi chana ni Mavuno Farm ni kweli anauza Galla walio pandwa na Boer tayari, 0713282715 nilishawahi weka number yao hapa wasilianeni nao wana Mbuzi viwango kweli.
Kuhusu kagera ni kweli utapata Mbuzi wazuri wanao zaa mapacha mpaka 3 hao wanaitwa Mubende, ila ningeomba nikushauri kitu ktk hao Mbuzi jitahidi sana wakutafutie amabe alisha zaa mara moja au amchukuwe ambae ana watoto wake pacha kabisa ndio inakuwa vyema na ujitahidi sana kuangalia umri maana ukimchukuwa amabae amaesha zaa sana huwa anakuja kuzaa watoto wadhaifu na wanakufa mara wazaliwapo wanakaa muda mchache.
Mubende ni Mbuzi wazuri na wastahilivu sana, nakupongeza sana kwa hilo la kuamua kuwekeza mtumainie Mungu na utafikia malengo yako ubarikiwe sana.
Nashukuru sana kwa hili pia. Nitazingatia hilo maana hata anaenitafitia aliniambia Ili tuwe na uhakika tunaweza kununua walio ma watoto wake.

Pia alinishauri kuwa kama tunanunua wafogo tunaweza kuangalia wale walio zaliwa kama mapacha; sijui kwa hili unashauri nini?
 
Nisawa kabisa nunu walio zaliwa kwenye mapacha na uchukuwe majike zaidi Dume ningekushauri ununuwe la Galla/isiolo utapata matokeo mazuri sana, mimi nilikuwa nao hao Mubende na niliwazalisha na Galla/Isiolo kwakweli nilipata Mbuzi wazuri sana na maumbo naujaaji wa Nyama ktk miili yao ulikuwa Mzuri sana. Naitafuta ile picha yakuonyesha kucheki umri wa Mbuzi kwa kutumia meno nitaiweka hapa haraka ili wengi tunufaike.
Wewe unataka kufanyia ufugaji wako mkoa gani?
 
Amina ubarikiwe sana nilizembea kidogo ndugu nilichokipata Mungu ndio shahidi , maana Mbuzi walikufa wote sasa naanza upya.
Nina jua wengi wetu tunamatamanio ya kusonga mbele na kuongeza uzazi wa Mbuzi wetu.
Pole sana ndugu kwa changamoto ulizo zipata.

Ni kweli watu wengi tuna matamanio ila uthubutu ndio hatuna.

Ukweli ni kwamba mtu aliamua kufuga kibiaahara hakika ataiona Faida iliyoko kwenye mbuzi. Asilimia kubwa ya watu wa eneo nilipo no wafugaji lakini wanafunga ng'ombe hivyo binafsi nimeamua kudeal na mbuzi kwani return yake ni ya haraka
 
wakaliwetu kwa uzoefu wako hili dume unaliona je? Lina faa kwa mbegu?
Screenshot_20211025-191507.jpg
 
Pole sana ndugu kwa changamoto ulizo zipata.

Ni kweli watu wengi tuna matamanio ila uthubutu ndio hatuna.

Ukweli ni kwamba mtu aliamua kufuga kibiaahara hakika ataiona Faida iliyoko kwenye mbuzi. Asilimia kubwa ya watu wa eneo nilipo no wafugaji lakini wanafunga ng'ombe hivyo binafsi nimeamua kudeal na mbuzi kwani return yake ni ya haraka
Mungu asimame nawe ktk hili wazo lako na akujaalie yale yalio mema ktk uzao wa hao mifugo. ulishaanza au ndio unataka kuanza?
 
Wasiliana na hawa jamaa Jovakimz farm 0752 831 230 pia jiridhishe kwa kupitia page yao Instagram
unaweza kupata kilicho bora
 
Nawasalimuni kwa jina la Mungu wafugaji wenzangu, wanayama wetu wanaendeleaje? niwaombeeni nyote baraka za Mungu na utendaji ulio mwema ktk mazizi ya mifugo yenu.
 
Huyo ni Galla/isiolo na anaemuuza ni mfugaji mwenzangu nakama unamawasiliano nae naomba uumchukuwe hutojutia kuwa na super charger ktk zizi lako, hapo wewe niusajili majike tu.
Naomba kuuliza Kaka kwenye upande wa issolo au galla utamgundua vp? Maana mimi nilikua najua anatambulika kwa rangi yake yaani full mweupe mrefu na ana mwili mkubwa pia masikio yaliyo lala naomba kupata elimu zaidi umemtambuaje Kama huyo ni galla
 
Habari za leo nisamehe sana kwa kuchelewa kukujibu hili swali lako.
JIBU; 1,akiwa mweupe au mwenye madoa ya brauni wote ni Galla/Isiolo.
2, ukimpekua chini ya ngozi yake utakuta ni nyeusi kabisa huku juu kwenye manyoya anakuwa mweupe au mwenye madoa ya braun lakini chini kabisa ya Ngozi anakuwa mweusi kabisa.
3, sehemu zake za haja hapo chini ya mkia panakuwa peusi kabisa, kwa wale walio cross na wamaziwa panakuwa pa rangi ya nyeupe.
4, kwenye lips za midomo yake nako kunakuwa na nyeusi.
5, vichwa vyao kwenye mdomo havija chongoka mbele kama Mbuzi wa kawaida wao unaweza sema wana sura fupi au ya kasuku.
6,chini ya shingo zao baada ya mwisho wa kidevu hapo kuna kuwa na kauvimbe kama tezi hivi lakini kiyo ndio model yao.
7,pembe zao hazichongoki kwa kwenda juu na kwa majike zinakuwa na udogo hata wakikomaa, kwa madume zinalala kwakwenda nyuma kufwata shingo kama vile Boer.
8, Dume mara nyingi sana korodani zake zinagawanyika kati kati na akikomaa sana kama miaka4 na kuendelea zinakuwa kama zipo mbili tofauti.
Hizo ndio njia kuu za kuwajua hao wanyama wetu pendwa Galla/Isiolo.
Ntiaambatanisha na picha nikifika Nyumbani ili tuelewe sote kwa pamoja.
Nisamehe sana kwa kuchelewa kukujibi, Mungu akubarki sana ktk ufugaji wako.
 
Asante sana Kaka nimekuelewa vizuri sana ubarikiwe
 
Amina na iwe baraka kwetu sote na mazizi yetu tubarikiwe tufikie malengo yetu na uzazi uendelee ktk mifugo yetu. Kama upo Dar kabla hujaagiza hao Mbuzi karibu kwangu uwaone vyema ili uwezi kuagiza kitu stahiki ktk ufugaji wako.
 
Mkuu mimi niko nafugia Mkoa wa Kigoma Wilaya ya Kibondo karibu kabisa na Mto Malagarasi.
Tuna share same interest ni PM tuongee mengi na kwa sababu mimi makazi yangu ni Kahama mkoani Shinyanga ni rahisi tukajiunga tukachangia usafiri tukaenda kuwaleta hawa mbuzi kutoka huko Arusha.
Mkuu vipi mlifanikiwa hili la kuwaleta hao mbuzi?
 
Back
Top Bottom