impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,755
- 7,684
Wakuu Natafta mbia wa kushirikiana nae tuungane kufanya kazi za ukandarasi Elimu siyo kigezo ilimradi aweze kutafta kazi na uwezo wa kiuchumi nitamuingiza katka kampuni tutakuwa wote.
Kampuni ilishasajiriwa tangu 2016 Civil engineering & Building aliye tayali ani PM namba tuzungumze
Kampuni ilishasajiriwa tangu 2016 Civil engineering & Building aliye tayali ani PM namba tuzungumze