Natafuta mbia kwenye ufugaji kuku, nguruwe na kufanya kilimo cha green house

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,932
4,400
Wakuu salama!

Natafuta mbia ninayeweza kufanya naye ufugaji wa kuku, nguruwe au kilimo cha green house. Mimi natoa eneo, Dar es Salaam, Tegeta Wazo.

Yeye anakuja na mtaji wa kuinvest
 
Wazo lako zuri sana.

Ngoja waje muunganishe nguvu, bila shaka utawapata.

Kuna nyakati na mimi nilitafuta mtu makini wa kufanya naye ufugaji wa kuku, nilichokuja kugundua watu wengi hawako serious na maisha, wengi wanaingia kwa kutest tu, ikitokea mmetikisika kidogo mnaanza kunyoosheana vidole.

Mradi ulikufa nikaamua kuuhamishia kanda ya ziwa, kwa sasa unakwenda kwa kasi sana, umeanza kujiendesha na faida imeanza kuonekana sasa.

Kuwa makini tu utafika.
 
Back
Top Bottom